WCB,WASAFI Wanastahili sifa na Heshima Katika Bongo fleva.

WCB,WASAFI Wanastahili sifa na Heshima Katika Bongo fleva.

Yaan unavyowasifia hao wasafi,umesahau kuwa kiba alipiga show huko one man army...kwenye ishu ya bongo flava wasanii kibao wanapeperusha bendera ya kimataifa ikiwemo kiba,vannessa,Ay huyu ndo mwanzilishi wa kimataifa Ay ndo kafungua njia hata kwa huyo diamond

Sent using Jamii Forums mobile app

anafuatilia habari za diamond tu, kafunga mapazia kwa zingine zote
 
anafuatilia habari za diamond tu, kafunga mapazia kwa zingine zote
mkuu acha fiksi,uo ndio ukweli mchungu,kwaio ulitaka nitoe Habari za nani?kwasasa wengi wanajua WCB ndio vinara,ulitaka niseme WEUSI au TMK?

The Future is in Our Brain's Tongue's and Hand's.
 
Ndo maana hii mijamaa mi siipendi! Yaani hapa nimechukia kishenzi na mihasira kibao! Sijui nikajimwagie maji baridi mwili upoe!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee

The Future is in Our Brain's Tongue's and Hand's.
 
Back
Top Bottom