Wcb wasafu records kwisha

Wcb wasafu records kwisha

Ndio maana mimi naanzisha WACHAFU Record.
 
ushidani wa kutoa nyimbo kutoka wasafi records. Rich Mavoko malalamiko yake inaonyesha kuwa upedeleo kati ya wale wanaopewa kibao katika lebo hiyo. Rich Mavoko lazima ajiondoae kwenye lebo hiyo aikoe career yake ya muziki.C.E.O wa lebo ya WCB Wasafi Diamond Platinumz hajafanya lolote kuhusu malalamiko yake inaonyesha hana uongozi mzuri.View attachment 845456
Huu uhandishi kama kabanwa na mavi
 
ushidani wa kutoa nyimbo kutoka wasafi records. Rich Mavoko malalamiko yake inaonyesha kuwa upedeleo kati ya wale wanaopewa kibao katika lebo hiyo. Rich Mavoko lazima ajiondoae kwenye lebo hiyo aikoe career yake ya muziki.C.E.O wa lebo ya WCB Wasafi Diamond Platinumz hajafanya lolote kuhusu malalamiko yake inaonyesha hana uongozi mzuri.
kunywa kwanza maji
 
mtoa mada nipe sababu tano za "kwann wachangiaj weng wanasema hawajaelewa ulichoandika wakat we mwenyewe umeelewa ulchoandika"
 
Back
Top Bottom