rama bendu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 310
- 220
Vp ww unayohuyu jamaa huwa hana kazi ya kufanya.
swissme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp ww unayohuyu jamaa huwa hana kazi ya kufanya.
swissme
Katika kile kinachoonekana viongozi wa serikali kuvutiwa na jinsi Diamond na lebel yake WCB wanavyoibadilisha tasnia ya muziki wa Tanzania kuwa fursa ya kibiashara na kazi rasmi, Mh. Waziri wa wizara mambo ya ndani, Mwigulu Lameck Nchemba ametembelea ofisi za WCB na kukutana na baadhi ya wafanyakazi na wasanii wa label hiyo ili kuwapa moyo na kuwahakikishia kuwa serikali ipo pamoja nao katika kuhakisha kazi zao zinalindwa kwa mujibu wa sheria. Pia kawaambia kuwa serikali haitasita kuwapa msaada pale watakapokwama na kuhitaji usaidizi wa serikali.
Binafsi nimeona ni jambo jema hasa ukizingitia wameshatembelea viongozi na mawaziri kadhaa. Rai yangu kwa wasanii wengine kuiga mfano wa WCB katika kuwa na ofisi maalumu na kuzipa thamani kazi zao.
Una matatizo ya uelewahahahaha niko majuu.
swissme
mimi na wewe nani ana Elimu ya juu?Una matatizo ya uelewa
Hata Kiba nayo K....huyu jamaa huwa hana kazi ya kufanya.
swissme
Kuajiri watu 50 na kulipa iyo ml40 kodi sio sababu ya msingi kuna msingi unaowapapeleka hukoDiamond siyo artist peke yake, bali ni mwajiri aliyeajiri vijana zaidi ya hamsini, na katika vijana hao wapo wenye watoto, wake na wengine ndio tegemeo katika familia zao. Anawalipia mafao hao vijana, na zaidi analipa kodi zaidi ya milioni 40 kwa mwaka. Sasa nijuze ni kijana gani msanii ambaye anafanya kazi zaidi ya Diamond? Ukifikiria hapo, basi utaelewa kwa nini wanasiasa na viongozi wanakwenda kutembelea WCB kila mara. Wana mambo mengi ya kujifunza kutoka WCB ili wakaweze kushare hayo mambo na vijana wengine wanaohangaika kujikwamua kimaisha. Ukiwa kiongozi, na ukawa na nia ya kusaidia wasaniii au jamii fulani, basi ni lazima ujifunze kutoka kwa waliofanikiwa na ujifunze kutoka kwa waliofeli ili kusudi upate njia sahihi ya kuwasaidia wanaokwama.
Umeongea ukweli mkuuu.Hata miye ningekuwa mwanasiasa ningeenda ofisin Kwa diamond. Diamond ni icon ya Vijana maskini wanaotaka kufanikiwa. Diamond anatukumbusha kufanikiwa hakuhitaji utokee familia ya kitajiri. Vijana wenzangu Tanzania kuna amani sana km tukiweza kuunganisha nguvu tutafika mbali sana. But tukiendelea na brah brah za wanasiasa uchwala kutoboa tusahau.
Diamond ni icon Kwa wanasanii wote, wafanyakazi na wafanyabiashara. Mh. Mwigulu karibu sana.
Wachana na kiroboto nduguUlitaka afanye nini ili ujue ana kazi ya kufanya? WCB wanachangia pato la taifa kiasi gani kwa mwaka ukilinganisha na pato unalochangia wewe? Unajua WCB imeajiri vijana wangapi wenye familia zinazowategemea?
Mwaka huu TRA Walimchomoa m 200+ .... mtu km mond serikali inamuangalia kwa jicho la upekee sana.Diamond siyo artist peke yake, bali ni mwajiri aliyeajiri vijana zaidi ya hamsini, na katika vijana hao wapo wenye watoto, wake na wengine ndio tegemeo katika familia zao. Anawalipia mafao hao vijana, na zaidi analipa kodi zaidi ya milioni 40 kwa mwaka. Sasa nijuze ni kijana gani msanii ambaye anafanya kazi zaidi ya Diamond? Ukifikiria hapo, basi utaelewa kwa nini wanasiasa na viongozi wanakwenda kutembelea WCB kila mara. Wana mambo mengi ya kujifunza kutoka WCB ili wakaweze kushare hayo mambo na vijana wengine wanaohangaika kujikwamua kimaisha. Ukiwa kiongozi, na ukawa na nia ya kusaidia wasaniii au jamii fulani, basi ni lazima ujifunze kutoka kwa waliofanikiwa na ujifunze kutoka kwa waliofeli ili kusudi upate njia sahihi ya kuwasaidia wanaokwama.
Naamini ktk common sense.mimi na wewe nani ana Elimu ya juu?
sema wewe.
swissme