WCB watembelewa na Waziri wa mambo ya ndani

Huku mkuu akipiga sim clouds,huku nape anahojiwa clouds huku mkuu Mwigulu yuko na Wasafi ...safiii
 
huyu jamaa huwa hana kazi ya kufanya.


swissme
Mkuu sio kila jambo lazima upinge tu comments zako nyingi naona ni kupinga tu but anyway ni haki yako kisheria maadam huvinji sheria za nchi ila kila jambo likiletwa kuhusu viongoz wa kiserikal lazim upinge dah! Ww noma. Kutembelea wasanii haijamanisha hana kazi ya kufanya pia ni sehemu ya kazi kuwatia moyo kama watz wengine
 
Sijui ni ujinga wangu na ushamba lakini haya matukio ya wakuu wetu yananichekesha sana!
 
Hivi Muziki uko chini ya wizara ya mambo ya ndani? ni bora muda huo angetumia kwenda kuongea na wafungwa na mahabusu waliojazana magerezani bila sababu za msingi.
 
msanii naye ni msanii kaingilia kaxi ya Nape.


swissme
 
Mwenye nacho huongezewa mara dufu
 
Wakulima na Wafugaji wanafanyiana ukatili hawaendi. Wameona bora wapange foleni Usafini. Haya Mungu anawaona. Who will be next???
 
Kwa serikali hii sitoshangaa kumuona waziri wa habari akiwahakikishia maji safi na salama watu wa goba!
 
Hakuna tatizo na maneno yako ila mtu akiajiri watu 40 na kulipa million 40 waziri anatembelea? Mbona wengi wameajiri mamia ya watu na wanalipa millions na hawatembelewa huyo Bakhresa tu kutembelewa sababu alitingisha kibiriti.
 
Hakuna tatizo na maneno yako ila mtu akiajiri watu 40 na kulipa million 40 waziri anatembelea? Mbona wengi wameajiri mamia ya watu na wanalipa millions na hawatembelewa huyo Bakhresa tu kutembelewa sababu alitingisha kibiriti.
 
kwa hiyo kazi ya waziri ni hiyo au kuna watumishi wa kitengo chake.na swala la Uchumi labda jamaa kaenda kukopa.

swissme
Kuna mwingine alijipendekeza mawingu naona ni mwendelezo wa kutafuta KiCk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…