Vituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!
Hiyo inaitwa Corporate social responsibility, nikurudisha sehemu ya faida kwa najamii na sio kwa wafanyakazi. Wafanyakazi wana vyao mabavyo ni posho, bonus na mishahara.Vituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!
Kwanini mnashangaa viongozi wa Tanzania kuwa mafisadi? Majibu haya hapa.Vituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!
Tulia we tomasoHizo nyumba ziko wapi!? ...maana nasoma kuwa watazikabidhi watakayofika/kwenda Iringa hivyo nikadhani labda kuna mtu anazihifadhi kabla ya kuzipeleka kuzikabidhi.
Kumbe wakuu wa wilaya/mkoa Kagera walikosea kutokuja kuwaona WCB na kupiga nao picha labda nao wangeambulia walau nyumba moja.
Yeye kama msanii kioo cha jamii inabid afanye vitu vionekane ili kuhamasisha watu wengine watoe msaada.Huyu blaza namkubali ila akepunguza media ..... angekuwa anafanya vitu kimya kimya Mungu angembariki sana .....
huwezi kumpangia mtu maisha.kujenga ni akili ya mtu,wapo waliopata mamilioni lakini hawakuwa na akili ya kujengaVituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!
Vituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!
Mfano nani kapanga?Vituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!
Acha tu, wachawi sio lazma wapae na ungoWakijenga mnasema show off
Wakiwa na nyumba zao wabinafsi
Binadamu hambebeki