mwenzio analipwa kutokana na kazi hiyoMwanaume unakuwa mmbea hata mimi ningewapa kichapo. Huwezi ukawa mwanaume halafu ukawa mmbea. Ni bora tu wavae sketi wajiunge na vikundi vya kuchamba vya akina dada tujue moja.
shkaji wa babaSafi sana Iyobo kwa kuwafunza adabu wanaume wa dar
Kwani Shilawadu ni waandishi wa habari?Waandishi wa habari wamepigwa??
Nilitegemea wangevunjwa mbavu au uti wa mgongo ili wajue umbea una mipaka....Mwanaume unakuwa mmbea hata mimi ningewapa kichapo. Huwezi ukawa mwanaume halafu ukawa mmbea. Ni bora tu wavae sketi wajiunge na vikundi vya kuchamba vya akina dada tujue moja.
Umethibitisha vipi kama wale ni wanaume? Unazijuwa sifa za mwanaume ukiacha ya madhine?Mwanaume unakuwa mmbea hata mimi ningewapa kichapo. Huwezi ukawa mwanaume halafu ukawa mmbea. Ni bora tu wavae sketi wajiunge na vikundi vya kuchamba vya akina dada tujue moja.
wakome. ndio wajue kuwa iyobo ni wa mwananyamala
Timu ya Shilawadu Yadaiwa Kuchezea Kichapo Kitakatifu Kutoka Kwa Moses Iyobo
From @mangekimambi_ - Jomoni embu amkeni, Mose Iyobo kawapa kichapo Shilawadu, mnaambiwa bonge la fujo hapo dukani kwa Aunty Kinondoni. Watu ndo wakaja kuamua na Shilawadu wameshindwa kumuhoji Mosee. Mnaambiwa Kwisa kala vichwa viwili vya kijeshi, Soudy kala mitama double double alikuwa anageukia hewani..Uwiiii mambo ni hiviii ni motooo
.
Ila huyu Mosee mbona anajifanya sana jamani?? Utasema sio dancer?? Au sababu kampata Aunty ndo anajiona?? Kha!!Shiladu wenyewe walienda dukani wakijua watamkuta Aunty wamuhoji kumbe Aunty kasafiri yuko China, hata wakati anachambana na Tunda alikuwa China. So kufika dukani ndo wakamkuta Baba Kuki badala waondoke wakataka kumchokonoa baba Kuki we ndo kikawaka.Mambo ni hivi ni fire
Hizi takataka ndizo anazozipenda baba yako Magufuli, yeye ndio mpenzi namba moja wa hiyo takataka wanayoiita Shilawadu.Hao ni waandishi wa habari au taka taka?
Cha kunishangaza hawa SHILAWADU sijasikia wameenda kumuhoji P Funk, wao kila siku na kina Nuhu Mziwanda tu.
hahaha etï mwarab fyta....Mose kawa mwarabu fighter??? Yaani awapige team yote ya shilawadu kwa wakati mmoja mpaka kuvunja viuno??
kabisaSafi sana Iyobo kwa kuwafunza adabu wanaume wa dar