WCB wawapa kichapo Shilawadu

WCB wawapa kichapo Shilawadu

Mwanaume unakuwa mmbea hata mimi ningewapa kichapo. Huwezi ukawa mwanaume halafu ukawa mmbea. Ni bora tu wavae sketi wajiunge na vikundi vya kuchamba vya akina dada tujue moja.
mwenzio analipwa kutokana na kazi hiyo
 
Hahahaaaa mange kiboko mitama double double anageukia hewani......Hii movie sasa naona kawa mkandala kma sio Murphy sio kwa chumvi hii
 
Mwanaume unakuwa mmbea hata mimi ningewapa kichapo. Huwezi ukawa mwanaume halafu ukawa mmbea. Ni bora tu wavae sketi wajiunge na vikundi vya kuchamba vya akina dada tujue moja.
Nilitegemea wangevunjwa mbavu au uti wa mgongo ili wajue umbea una mipaka....
 
Mwanaume unakuwa mmbea hata mimi ningewapa kichapo. Huwezi ukawa mwanaume halafu ukawa mmbea. Ni bora tu wavae sketi wajiunge na vikundi vya kuchamba vya akina dada tujue moja.
Umethibitisha vipi kama wale ni wanaume? Unazijuwa sifa za mwanaume ukiacha ya madhine?
 
Timu ya Shilawadu Yadaiwa Kuchezea Kichapo Kitakatifu Kutoka Kwa Moses Iyobo

From @mangekimambi_ - Jomoni embu amkeni, Mose Iyobo kawapa kichapo Shilawadu, mnaambiwa bonge la fujo hapo dukani kwa Aunty Kinondoni. Watu ndo wakaja kuamua na Shilawadu wameshindwa kumuhoji Mosee. Mnaambiwa Kwisa kala vichwa viwili vya kijeshi, Soudy kala mitama double double alikuwa anageukia hewani..Uwiiii mambo ni hiviii ni motooo
.
Ila huyu Mosee mbona anajifanya sana jamani?? Utasema sio dancer?? Au sababu kampata Aunty ndo anajiona?? Kha!!Shiladu wenyewe walienda dukani wakijua watamkuta Aunty wamuhoji kumbe Aunty kasafiri yuko China, hata wakati anachambana na Tunda alikuwa China. So kufika dukani ndo wakamkuta Baba Kuki badala waondoke wakataka kumchokonoa baba Kuki we ndo kikawaka.Mambo ni hivi ni fire
wakome. ndio wajue kuwa iyobo ni wa mwananyamala
 
Cha kunishangaza hawa SHILAWADU sijasikia wameenda kumuhoji P Funk, wao kila siku na kina Nuhu Mziwanda tu.
 
Umbea wa soudy unatia hasiraaa....ni mbea yule kaka hapana.

ila ubuyu wap ni mzuri kwa afya zetu wengine ila wahusika lazima wachukieee.
 
Back
Top Bottom