fatmanuria
JF-Expert Member
- Aug 26, 2017
- 440
- 701
Sijui mkuu jinsi ya kutoa linkToa link na sisi tukafaidi
Mwanaume unakuwa mmbea hata mimi ningewapa kichapo. Huwezi ukawa mwanaume halafu ukawa mmbea. Ni bora tu wavae sketi wajiunge na vikundi vya kuchamba vya akina dada tujue moja.
ndo level yaoCha kunishangaza hawa SHILAWADU sijasikia wameenda kumuhoji P Funk, wao kila siku na kina Nuhu Mziwanda tu.
Labda kama haungaliagi kipindi, last week walikua na P funk wakamhoji hadi umbea wa kajalaCha kunishangaza hawa SHILAWADU sijasikia wameenda kumuhoji P Funk, wao kila siku na kina Nuhu Mziwanda tu.
Hao ndo dawa yao, wanamengi yakujifunza kutoka TMZ.Mose kawa mwarabu fighter??? Yaani awapige team yote ya shilawadu kwa wakati mmoja mpaka kuvunja viuno??
Habari bila picha sawa na pilau bila nyama.
View attachment 689274kwa niabaHabari bila picha sawa na pilau bila nyama.
Team kichapoNi kweli shilawada imekua shikwipengo au?[emoji54]
Hivi dawa ya wambea ni nn?Team kichapo
Vichapo vya nguvu.... Ikibidi na moto mkali juu bila dawa ya jichoHivi dawa ya wambea ni nn?