WCB wawapa kichapo Shilawadu

WCB wawapa kichapo Shilawadu

Pole zao tatizo hawatumii technique kusaka umbea wanaenda kiswahili kama watu wa mtaani
 
Mwanaume unakuwa mmbea hata mimi ningewapa kichapo. Huwezi ukawa mwanaume halafu ukawa mmbea. Ni bora tu wavae sketi wajiunge na vikundi vya kuchamba vya akina dada tujue moja.

Hao n wananume wa daslam [emoji23][emoji23][emoji23]
Wambea balaa kuliko watu wa mbeya
 
Nilisikia wana kibali et cha hii kazi..sasa najiuliza hichi kibali walipatiwa na nani
 
Cha kunishangaza hawa SHILAWADU sijasikia wameenda kumuhoji P Funk, wao kila siku na kina Nuhu Mziwanda tu.
Labda kama haungaliagi kipindi, last week walikua na P funk wakamhoji hadi umbea wa kajala
 
Mose kawa mwarabu fighter??? Yaani awapige team yote ya shilawadu kwa wakati mmoja mpaka kuvunja viuno??
Hao ndo dawa yao, wanamengi yakujifunza kutoka TMZ.

We unjua kabisa unafatilia maisha ya watu tena unatoa siri zao ambazo wao hawapendi zijulikane halfu huna hata walizi na walivo mdebwedo sasa..

Ngoja wakashtak kwa boss Ruge mjengon.
 
Habari bila picha sawa na pilau bila nyama.
IMG_20180202_142303_687.jpg
kwa niaba
 
Ni kweli shilawada imekua shikwipengo au?[emoji54]
 
Back
Top Bottom