Sure suala la @w. j malecela walinikera sanaMshahara wao harali huo
ndio mnavyojidanganya? siku wcb wakiwazingua clouds ndio utakuwa mwisho wa wcb... waambieni wajaribuclouds inajipendekeza WCB... ruge alimtosa diamond THT mwaka 2007... leo anatamani hata awe meneja wake
wanaume wa dar,dancer mwenyewe mpiga watu kalegea kama mlenda na ana tako kuliko madame antiDancer anakupigaje kirahisi hivyo.
hawaana ufiti wowote shilawadu ndo wamama,pale hata ukiwaamulia unawapeleka nyumbani wote wacheze sindimbaSiamini kama wakata viuno nao wapo fiti
[emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Moze Iyobo kawaonea kwasababu kuwapiga kina SHILAWADU ni sawa kuwapiga mademu tu.
Safi sanaHahahhahaa mose iyobo nomaaaaaa sana we jamaa safi hii ndo dawa ya wanaume wambeyaa
Kichapo kikali kabisaHivi dawa ya wambea ni nn?
Mkuu me nilitaka kuona mitama kumbe jitu linaongea tu
Clouds ndo nani kwani. Harafu hawa wanao waaya hawa clouds ni wategemea wcb kupigwa ban clouds
Miss u[emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wabongo bana we wape title, main topic wataweka wenyewe.From @mangekimambi_ - Jomoni embu amkeni, Mose Iyobo kawapa kichapo Shilawadu, mnaambiwa bonge la fujo hapo dukani kwa Aunty Kinondoni. Watu ndo wakaja kuamua na Shilawadu wameshindwa kumuhoji Mosee. Mnaambiwa Kwisa kala vichwa viwili vya kijeshi, Soudy kala mitama double double alikuwa anageukia hewani..Uwiiii mambo ni hiviii ni motooo
.
Ila huyu Mosee mbona anajifanya sana jamani?? Utasema sio dancer?? Au sababu kampata Aunty ndo anajiona?? Kha!!Shiladu wenyewe walienda dukani wakijua watamkuta Aunty wamuhoji kumbe Aunty kasafiri yuko China, hata wakati anachambana na Tunda alikuwa China. So kufika dukani ndo wakamkuta Baba Kuki badala waondoke wakataka kumchokonoa baba Kuki we ndo kikawaka.Mambo ni hivi ni fire
[emoji120] [emoji120]View attachment 689274kwa niaba