WCB wawapa kichapo Shilawadu

WCB wawapa kichapo Shilawadu

clouds inajipendekeza WCB... ruge alimtosa diamond THT mwaka 2007... leo anatamani hata awe meneja wake
ndio mnavyojidanganya? siku wcb wakiwazingua clouds ndio utakuwa mwisho wa wcb... waambieni wajaribu
 
hatimaye...
Ila huyo mkata viuno yatamkuta
 
Kama ni kweli Iyobo kawadunda wote Kwisa na soud basi Shilawadu waanze kwenda Gym.
 
Hakuna mahali Shilawadu wamepewa kichapo, zaidi ya utoto aliyoufanya huyo jamaa waliyetaka kumuhoji...

Na hata demu wa huyo jamaa alishapigiwa simu na kuwaomba msamaha hao Shilawadu kwa niaba jamaa wake...


Cc: mahondaw
 
I’m on the way
We ain't got no time to waste
Popping your gum on the way
Am I in the way?
I don't want to pressure you none
I want your blessing today
Oh by the way, open the door by the way
Told you that I'm on the way
I'm on the way, I know connection is vague
Pick up the phone for me babe
Dammit, we jammin'
 
From @mangekimambi_ - Jomoni embu amkeni, Mose Iyobo kawapa kichapo Shilawadu, mnaambiwa bonge la fujo hapo dukani kwa Aunty Kinondoni. Watu ndo wakaja kuamua na Shilawadu wameshindwa kumuhoji Mosee. Mnaambiwa Kwisa kala vichwa viwili vya kijeshi, Soudy kala mitama double double alikuwa anageukia hewani..Uwiiii mambo ni hiviii ni motooo
.
Ila huyu Mosee mbona anajifanya sana jamani?? Utasema sio dancer?? Au sababu kampata Aunty ndo anajiona?? Kha!!Shiladu wenyewe walienda dukani wakijua watamkuta Aunty wamuhoji kumbe Aunty kasafiri yuko China, hata wakati anachambana na Tunda alikuwa China. So kufika dukani ndo wakamkuta Baba Kuki badala waondoke wakataka kumchokonoa baba Kuki we ndo kikawaka.Mambo ni hivi ni fire
Wabongo bana we wape title, main topic wataweka wenyewe.
Ki uhalisis wala hata hakukua na physical contact kati ya Mose na kina Sudi, ni Gari alilokua akiendesha Mose ndilo lililowagonga kina sudi, sasa hivyo vichwa na mitama vimetokea wapi??
Au gari siku hizi linapigaga vichwa??
 
Back
Top Bottom