mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Dj wa Diamond ni nani vile?
kma sio penny itakuwa wema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dj wa Diamond ni nani vile?
Mbona Bad Boys ya Diddy ilikua na wanawake?sema uwezo wa kujieleza mngeulizwa kama boys mbona ina wanawake ndo majanga
shoga yake ommy dimpozi katoa siri show za ughaibuni wanalipwa hela kiduchu bora hata ufanye show dar live mbagala...sasa nakuswalika swali ww unaemfunga zipu kabla ya show huyo mmanyema analipwa hela ngapi kwa show?
Yani kumfunga zipu na mkanda mwanaume mwenzako ndo kazi?? Ivi demu wako unamuaga kabisa unaenda kazini??
ukiona wafanya kitu na watu hawakuchukii
fahm uko chini sana zaid yao.
ukiona wakuchukia na kukupakaza fahm upo kwenye pick ya juu sana.they wish wangekuwa wao but.
hawawez wanishia kukusemea mbovu na kupakaza hta wasivyoviju .
Dj wa Diamond ni nani vile?
Yaani habari zako za Diamond zinachosha yaani mpaka unamchuja mwenzio, hunaga ma story mengine ya kuandika? Ukilala Diamond, ukiamka Diamond aaaggrrrrrrrhhh, na sisi tukianza kuweka story za mabosi wetu hapa patatosha??
Mkuu hizi changamoto unazokabiliana nazo hapa zinakatisha tamaa sana kiukweli cuz watu wanashindwa kukubali kile unachokifanya daily,any way najifunza kwako namna ya kukabiliana na hawa walimwengu,all the best ktk kazi zako,pia usikate tamaa kamwe zidi kusonga mbele,ipo siku utaeleweka tu and more promising they will acknowledge what you have been doing so far.
Kama zinakuchosha ni kitu gani kinachokufanya una-Comment/Reply? Kwanini usiipotezee? Au umelazimishwa ku-Comment kwenye kila thread?
Habari inakuchosha ndiyo ukahangaika kuifungua hadi na ku-Comment/Reply? Unakuwa na chuki bila ya sababu mpaka unajionyesha hadharani kabisa.
Kwa mtu ambaye ni kweli hizi habari za Diamond zinamchosha asingeweza hata kuifungua hii thread achilia mbali ku-Comment/Reply.
Miaka ya nyuma Yahoo kulikuwa na wapuuzi kama wewe wanaohangaika kufungua link na kuisoma halafu wanaanza kutoa povu kama ulilolitoa. Siku hizi wamesharekebishwa na wadau wa Yahoo na hii tabia imeisha.
Hao ma-Boss zako kama ni celebrities waanzishie thread hakuna aliyekukataza.
Unaona hii thread imepata views ngapi? Unaona idadi ya views na idadi ya comments/replies? Angalau hao walioiangalia na kuondoka kimya-kimya ndiyo wanaweza kusema hizi habari za Diamond zimewachosha.
Get a life kid.
Dah!:A S 39:
Kweli kama Diamond anakulipa kumpigia promo halafu akutane na bandiko kama hili ambalo halieleweki atasikitika sana..lakini kama nae anauelewa vinginevyo kama yuko kama wewe ataona ni sawa tuu. Mpangilio wa habari ni mbovu, kiswahili sio fasaha, umeanzia mwisho ukarudi kati ukamalizia na mwanzo. kabla hujaweka bandiko hapa lipitie na uone kama linasomeka na kama litafikisha ujumbe au kueleweka kwa wasomaji. Pia zingatia ushauri na maoni yanayotolewa hapa, acha kujiona unafahamu kila kitu na uko sahihi kwa ulichoandika, JF sio kijiwe cha kahawa, kina watu wenye uelewa na upeo wa kuchanganua na kuelewa habari zaidi yako. Nasema hivyo kwani naona ushauri unaopewa unachukulia kama chuki. Ni hayo tuu
Ni neno analopenda kulitumia Diamond na Bila shaka kuna watu wengi tu wanaojiuliza nin kilefu ama maana ya WCB.
kwanza ifahamike WASAFI.
siyo neno tu la kujifurahisha.kwamba diamond huwa analitamka tu .
WCB(WASAFI) ni brand name ya kampuni ya Diamond.
ambayo ndani yake inahusisha watu tofaut tofaut wanaosaidia/msaidia kaz zake za mziki.
kuna Yeye mwnyewe kama mkurugenzi.
kuna dancers.kuna wabunifu wake rasmi wa mavazi unayoyaona amevaa stejin na sehem zingne.na kwa kila onyesho linalokuwa lina mkabili.
hujadiliana na wabunifu wake ..ni nguo ya aina gan ibuniwe.
pia kuna mtu wa karibu anaehakikisha swala la usalama hususana awapo kwenye kind kubwa la watu.
kuna waandish wa nyimbo.
ana nwanamziki wake ambaye bado hajaamua kumtambulisha rasmi(na akimwachia rasmi,watu watatafutana)
kuna watu wa I.T
kuna watu wanaohusika na uandaaje na uwekaj kumbukumbu za matukio yote ya maisha ya diamond.nazungumzia showz zake.na mizunguko yake na matukio mengne mhim kuna watu wanaorekodi video na picha.popote unapomwona jua nyuma yake kuna wapiga picha wa video na still pics.kuna Dj wake na
kuna graphics designer.mamodo na waigizaj pia.
Hiyo ndio WCB.
ambayo kilefu chake ni WASAFI CLASSIC BABY.
ilichaguliwa baby ili kuhusisha jinsia zote.
weng wakisema b iwe badala ya Boys or brother .hapo wadada wangekua .
wamebaguliwa.na hao wafanya kaz wote hao ni vigum kuwashawish kuhamia kaz nyingine.mfano ukiacha wafnyakaz wengne.. dancers pekee.kwa Tz hakuna dancers wanaolipwa pesa nying kama wale.na hakuna mwanamzik anaeweza kumudu malipo yao.
They hatin eer day...we earning eer day
He's very busy kid. Sidhani ata kama ile iPhone yake anaingiliaga mtandaoni. Kitengo cha kusoma Email, a/c za fb, twtr, inst, blog ya wasafi etc zoote kashikiria Afisa wa Matangazo WCB, Mh. Andrew aka Heaven on desert.
Mweh.
duuh wanfaham had kwa jina!!hebu ni pm