WCB yawa zilipendwa masikini

WCB yawa zilipendwa masikini

Rayvanny-kachukua Tuzo!!!!!!!!
Dangote-kachukua Tuzo!!!!!!!!
Hamonizer-Anafanya vizuri sana!!!!!!
RichMavoko-Ndio usimtanie kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Label hiyo hiyo ya WCB ndio iliyowapa hayo mafanikio.

unakuja unasema label imepoa!!!!!!!!

Kwani ulitakaje Mkuu??????

Halafuuu,hiyo label imepoa ukiifananisha na ipi???????????????????????????????
Mkuu umetoke wapi au ulikuwa jela nini mkuu

Siro alikutupa lupango siyo
 
Kama we ni ME Basi asilimia 95 utakuwa ni GAY Halaf umesahau kutuambia label bora na inayotambaa ni IPI...?
 
Rayvanny-kachukua Tuzo!!!!!!!!
Dangote-kachukua Tuzo!!!!!!!!
Hamonizer-Anafanya vizuri sana!!!!!!
RichMavoko-Ndio usimtanie kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Label hiyo hiyo ya WCB ndio iliyowapa hayo mafanikio.

unakuja unasema label imepoa!!!!!!!!

Kwani ulitakaje Mkuu??????

Halafuuu,hiyo label imepoa ukiifananisha na ipi???????????????????????????????
Tuzo wanazopokea Ni za nyimbo za zamani!!alafu kwani lebel kupoa mpaka ifananishwe na label nyingine!? Uenda mleta mada ameangalia ilivyokua mwanzoni na ilivyo sasa
 
Achana naye mkuu.

Mimi nabishana na watu wanaojua muziki

Huyu nanyupu hajui lolote kuhusu muziki kwa hiyo sipotezi bando langu kubishana naye.
Ahaaaa mkuu wewe ni team WASAFI mbona unaiabisha sana kiongoz label gan hiyo ya kishamba ya wazee wa kukopy na kupest
 
Tuzo wanazopokea Ni za nyimbo za zamani!!alafu kwani lebel kupoa mpaka ifananishwe na label nyingine!? Uenda mleta mada ameangalia ilivyokua mwanzoni na ilivyo sasa
Mkuu nisaidie maana kuna watu kwao kiswahili ni janga la kitaifa
 
Kuna kijana mdogo wa kutoka Temeke anawasasambua kwenye hii game hatari.

Aslay ndio habari ya mjini kwa sasa....weeee mama nanihiii hebu niwekee kale kwawimbo ka MAHABUBA! Halafu fanya iwe dedication kwako hahaaaaa
 
Labda kwa kuwa mie nipo sayari ya pluto huku, vinanifikia vitu vya past tense..

Ila nahisi mleta mada anaongelea miaka 10 mbele.

Sina ushabiki daima, huwa napenda vitu vizuri tu, sidhan km wamekwisha kma unavyodai, kwan si juzi tu huyo ray vanny sijui kabeba tuzo, katoa singo matata "unaibiwa" mondi domo nae kabeba tuzo, mavoko katoa kitu kizuri ft pantoranking(au kwa kuwa hii nyimbo kanitumia mtoto wa kike ndio maana nimeiona tamu)[emoji23] [emoji23]

Wengine sijui sababu sifatilii sana.
 
Back
Top Bottom