Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Ili unaanza kusaini wasanii tujongeeNaanzisha lebo yangu ya WACHAFU
Mkuu umetoke wapi au ulikuwa jela nini mkuuRayvanny-kachukua Tuzo!!!!!!!!
Dangote-kachukua Tuzo!!!!!!!!
Hamonizer-Anafanya vizuri sana!!!!!!
RichMavoko-Ndio usimtanie kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Label hiyo hiyo ya WCB ndio iliyowapa hayo mafanikio.
unakuja unasema label imepoa!!!!!!!!
Kwani ulitakaje Mkuu??????
Halafuuu,hiyo label imepoa ukiifananisha na ipi???????????????????????????????
Ipo tayari chafu kwa pozi umechelewaNaanzisha lebo yangu ya WACHAFU
Achana naye mkuu.Hance Mtanashati ambassador wa Wasafi jf pita huku mkuu
Mkuu umetoke wapi au ulikuwa jela nini mkuu
Siro alikutupa lupango siyo
Tuzo wanazopokea Ni za nyimbo za zamani!!alafu kwani lebel kupoa mpaka ifananishwe na label nyingine!? Uenda mleta mada ameangalia ilivyokua mwanzoni na ilivyo sasaRayvanny-kachukua Tuzo!!!!!!!!
Dangote-kachukua Tuzo!!!!!!!!
Hamonizer-Anafanya vizuri sana!!!!!!
RichMavoko-Ndio usimtanie kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Label hiyo hiyo ya WCB ndio iliyowapa hayo mafanikio.
unakuja unasema label imepoa!!!!!!!!
Kwani ulitakaje Mkuu??????
Halafuuu,hiyo label imepoa ukiifananisha na ipi???????????????????????????????
Ahaaaa mkuu wewe ni team WASAFI mbona unaiabisha sana kiongoz label gan hiyo ya kishamba ya wazee wa kukopy na kupestAchana naye mkuu.
Mimi nabishana na watu wanaojua muziki
Huyu nanyupu hajui lolote kuhusu muziki kwa hiyo sipotezi bando langu kubishana naye.
Mkuu nisaidie maana kuna watu kwao kiswahili ni janga la kitaifaTuzo wanazopokea Ni za nyimbo za zamani!!alafu kwani lebel kupoa mpaka ifananishwe na label nyingine!? Uenda mleta mada ameangalia ilivyokua mwanzoni na ilivyo sasa
Salamu yangu ya kwanza iende kwa MBITIYAZA na salamu yangu ya pili iende MAMA SABRINA