Mi nilikuwa Mkatoliki baada ya kuona ni ukoloni na utumwa nikaamua kuachana na kwenda kanisani kabisa japo namuomba Mungu ki vyangu vyangu.
Imagine Mapadre au Maaskofu wana pesa mpaka za kuhonga wanawake na wengine wanashinda bar wakinywa bia na shisha lakini waumini ndo wanakamuliwa kwa sadaka na michango. Sasa huu si ni upumbavu.
Halafu wengi wao wanalogana sana kutafuta Uaskofu ila sisi tunadanganywa eti Mungu ndo kamchagua Askofu kimbe Ndumba tu.
Soma Pia: Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha
Ndo mana makanisa imekuwa kichaka cha kupiga hela kila mtu anafikilia kuanzisha dini. Akina Masanja wanajipigia mipesa tu. Hata MCPilipili eti naye kaanzisha.
Shtukeni jamani aminini Mungu yupo tu inatosha