We are Friends: WhatsApp group.

We are Friends: WhatsApp group.

kichekoh

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2015
Posts
1,376
Reaction score
1,479
Habari;

Ndani ya Jamii forum kuna kila aina tofauti tofauti za watu, na kila mtu ana umuhimu wake katika maisha yako. Nikiwa na maana ana msaada katika eneo fulani la maisha yako.

Inafahamika jamii forum inatupa vyingi sana lakini tofauti iliyopo ndani ya kundi hili kutakua na zaidi ya kupeana connection practically.

Yaani wakati unabofya link tambua kwamba unaenda kukutana na mtu ambaye anaweza nisaidia jambo fulani katika maisha ambalo lina umuhimu mkubwa sana katika maisha yako.

Itategemea unahitaji nini ndipo utajua utasaidiwa na nani!!!

Huenda akawa msomi mwenzio au mwalimu akakufundisha elimu ambayo pengine ingekugharimu pesa nyingi sehemu nyingine.

Au ukapata mfanyabiashara mwenza, mkafikiria kufungua kampuni kubwa tu na mkatoa ajira.

Au ukapata mtu mwenye hobby kama yako ikawa kila weekend mnafurahi pamoja sehem mbalimbali.

Kwa kifupj huwezi kujua utakutana na nani na atakusidia nini? Ukichukulia group kama sehem moja ya kupitisha muda tu its you're choice. Hakuna atakaekuuliza.

Hatubagui rangi, kabila, jinsia, umri, dini, elimu, kipato, makazi, ukanda, n.k. maadam uwe na nia njema na hili kundi. Na uwe na moyo mkunjufu wa kusaidia wengine. Nitakapojua wewe ndio tutapanga tunaweza kufanya nini ambacho kitatusaidia katika maisha yetu.

Watu 10 wa kwanza kujiunga tutawapa UADMINS

 
Back
Top Bottom