mhh ukimuoa huyo jiandae na mechi za mchangani.....ndoa si kusoma magazeti babu eee watuulize wenye ndoa zetu zinatizmiza miaka 70 sasa na kila siku wapya
Mkuu nadhan hapo kuna haja ya wewe mwenyewe kucheki mawazo yako! Mwanamke wa ndoa huangaliwa ktk vigezo vingi, nawe umekiri kwamba kuna mengi mnayoshare na kufarijiana.. Mwanamke wa ndoa hayupo kwa ajili ya starehe or style za mapenzi, yupo kwa ajili ya kulea familia na kuzaa watoto! Mkuu nadhan hayo ni mapungufu ya kawaida tu, chamsingi nenda nae taratibu, then kama ulivyosema umepitia mengi huko awali, nadhan ni wakati wa wewe kusahau yote uliyopitia na kuconcentrate kwa mkeo, akikuzalia mtoto utasahau yote hayo!
Kweli ni swali ngumu ila ni bora umejiuliza mapema kabla hujaoa. Kama walivosema waliotangulia ndoa sio kufanya mapenzi tu, kuna vitu vingi ndani yake ila kusema ukweli ni part kubwa ya maisha yetu.Wana-JF wenzangu. Nimepambana na maisha na kuyaweka sawa na sasa imefika wakati naona ni bora nitulizane na kuoa ili niendelee na chapter nyingine ya maisha. Kuna huyu binti nimempata na tuko pamoja kama miaka miwili na nusu sasa. She's ok in so many ways kasoro ni kwamba linapokuja suala la ngono hatuko on the same page kabisaaaaaaa. Yaani ni gogo na mvivu 100% kwenye 6x6, na hajishuhulishi kabisaaaaaaa na chochote... ni ile style ya soma gazeti ukialimaliza litupe....kifo cha mende. ..nimejaribu kumweleza na kumfunza wapiii lakini anasema there's nothing she can do. Sasa nahofia kuja kuoa mke ambae tutakuwa hatuko sexually compartible.
Jee hii ndoa itadumu kweli? Madhara ya kutoridhishana kingono kati ya wapendanao ni yapi? Manake nimejitahidi ku-overlook lakini saa nyingine nakuwa tempted kukata kiu kwa makoloni ya zamani ambayo tunaivana kingono kitu ambacho sitokipendelea nikijaitwa mume wa mtu. Nataka nikioa nitulizane kama maji ya mtungi na sitaki nyumba ndogo. nimekwama. Nifanyeje? Nawasilisha
Huyu mwanamama mwenzetu ambaye hataki kujifunza maubunifu na utundu ana matatizo
Hajui hili ni tatizo ...Natamani ningemuona nimpe neno kidogo la unyumba na mauzoefu...
kama uko seriours ni PM then unpe contact zake kwan soon kuna darasa la ufundji lilionda shule,mwambie aje apate kujua majamboz.
Ushauri usimuache,jaribu kumpa somo zaidi,mwanzo mgumu! Au try to ask her,pengine hana feelings.
Mkuu misuli yote hiyo umeshindwa kukageuza hako kasichana kweli, mbona unaweza, anaona akikuonyesha machejo utamwona mjanja halafu umuache, mshike mgeuze mwenyewe unavotaka, mbona wengine tunarushwa juu juu na kugeuzwa geuzwa, iweje wewe ushindwe? inamaana unamtoleaga macho makavu na kumwambia geuka, pale mahali hakuna kuulizana ni vitendo tuWana-JF wenzangu. Nimepambana na maisha na kuyaweka sawa na sasa imefika wakati naona ni bora nitulizane na kuoa ili niendelee na chapter nyingine ya maisha. Kuna huyu binti nimempata na tuko pamoja kama miaka miwili na nusu sasa. She's ok in so many ways kasoro ni kwamba linapokuja suala la ngono hatuko on the same page kabisaaaaaaa. Yaani ni gogo na mvivu 100% kwenye 6x6, na hajishuhulishi kabisaaaaaaa na chochote... ni ile style ya soma gazeti ukialimaliza litupe....kifo cha mende. ..nimejaribu kumweleza na kumfunza wapiii lakini anasema there's nothing she can do. Sasa nahofia kuja kuoa mke ambae tutakuwa hatuko sexually compartible.
Jee hii ndoa itadumu kweli? Madhara ya kutoridhishana kingono kati ya wapendanao ni yapi? Manake nimejitahidi ku-overlook lakini saa nyingine nakuwa tempted kukata kiu kwa makoloni ya zamani ambayo tunaivana kingono kitu ambacho sitokipendelea nikijaitwa mume wa mtu. Nataka nikioa nitulizane kama maji ya mtungi na sitaki nyumba ndogo. nimekwama. Nifanyeje? Nawasilisha
Kaka wewe jaribu kuongea nae kwa uwazi zaidi kuhusu hilo tatizo na kama unataka kula tunda kwa raha zako jaribu kufanya kwa vitendo zaidi uone yeye atarespond vipi.
Kumbuka vitu kama upishi,usafi unaweza vipata kwa house maid ila tunda ni kwa mkeo au makoloni,usione aibu kumgeuza geuza maana kumbuka wewe ukienda kwa makoloni unapiga hardcore n even tigo sasa kwanini vyote hivyo usipate kwa shemeji jamani.
lol, hata mimi nilihisi hivo...:happy:inaelekea jamaa anataka kupiga hardcore