Hevyo vigezo ulivyotoa naona tayari anaqualify kuwa mke zaidi ya 50%.
Hebu nikuulize huyo binti ni mwenyeji wa wapi au kabila gani? Nadhani ana miss skills fulani za jinsi kufanya mapenzi. Anza na style za kawaida tu kwanza atazoe. Anza na kama vile kichoma mboga, yeye akukalie juu (sijui inaitwaje). Sasa sijui kama kukatika ama kuchezesha kiuno anaweza hata kwa staili hiyo ya mende? kama awezi basi atakuwa ni mvivu kama anaweza basi mingine ataweza tu. Halafu pia jaribu kubadilisha mazingira ya kufanyia wakati mwingine mpeleke kwenye makochi, viti nk. jaribu pia bafuni, jikoni na hata siku nyingine mpeleke gest/hoteli ataelewa tu maana mambo hayo taratibu.