WE ARE SIMBA: Tukutane uwanja wa Taifa Jumapili 25 Agosti 2019

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Mpango mkakati na mchakato wa kujaza uwanja wa Taifa takribani mashabiki elfu 60 umeanza rasmi leo. Jumapili ya wiki hii kwa mara nyingine tena bara Afrika linaenda kushuhudia kandanda saaaafi ya Simba.

Itakuwa ni Simba dhidi ya UD Songo kuelekea mzunguko wa pili wa CAF Champs. Hatuna mashaka na kikosi chetu,ushindi ni lazima.

Kauli mbiu yetu ni WE ARE SIMBA. Tunachokuomba shabiki wa Simba na mpenda soka karibu kujaza uwanja hiyo J2.

Wote tuseme WE ARE SIMBA
 
Wale mabwana wangekua na washambuliaji,Juma2 tungeishia kubana miguu.Ila Yangaaa..Kazi anayo
 
TAFADHALI SANA NAKUOMBA U EDIT NA KUONDOA NENO "MPANGO MKAKATI"

Limekaa kiyangayanga zaidi.

"TIKETI YAKO NI NAMBA 59,999" PUT IT THAT WAY.

WE ARE SIMBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…