Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mda wa mechi haukua rafiki, ndio mana nafikiri hii game viongoz wameiangalia ili mashabiki wa mbali wapate mda wa kutazam uwanjanIla mechi na Azam tulitia aibu kwakweli tulikua wachache sana
Kesho alfajiri na mapema atakuwepo hapaLast seen yake lini? Aonewe huruma huyu mtu!!!
Nimekuja mdogo wangu. Mie langu ni moja tu kwa wingi huu wa wachangiaji uwepo mpaka siku ya mechi kwa kutupa updates ya kila kitakachoendelea huko Uwanjani.
😀😀😀Kesho alfajiri na mapema atakuwepo hapa
kama boko na wawa wanacheza binafs siendView attachment 1185427
Mpango mkakati na mchakato wa kujaza uwanja wa Taifa takribani mashabiki elfu 60 umeanza rasmi leo. Jumapili ya wiki hii kwa mara nyingine tena bara Afrika linaenda kushuhudia kandanda saaaafi ya Simba.
Itakuwa ni Simba dhidi ya UD Songo kuelekea mzunguko wa pili wa CAF Champs. Hatuna mashaka na kikosi chetu,ushindi ni lazima.
Kauli mbiu yetu ni WE ARE SIMBA. Tunachokuomba shabiki wa Simba na mpenda soka karibu kujaza uwanja hiyo J2.
Wote tuseme WE ARE SIMBA
Ghazwat atatupa live coverage wala usijali dada yangu, kikubwa tu usije ukasingizia hukuwa na bando[emoji23][emoji23]Nimekuja mdogo wangu. Mie langu ni moja tu kwa wingi huu wa wachangiaji uwepo mpaka siku ya mechi kwa kutupa updates ya kila kitakachoendelea huko Uwanjani.
Sio wajifiche.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Afadhali aiseee. Japo nikwambie mdogo wangu siku hizi huyo Ghazwat mwenyewe kawa muoga huyo ana mechi na mechi za kutoa Updates.Ghazwat atatupa live coverage wala usijali dada yangu, kikubwa tu usije ukasingizia hukuwa na bando[emoji23][emoji23]
tusidanganyane kwa wachezaj kama boko na wawa hatuwez toboa tukikutana na timu nzuri kama:whydad,esperance,etc mimi ni simba lialia lakin kwa maon yangu binafsi ud songo tutawatoa kwa vile sio wazur na foward wao hawapo makin.Kama ule uzembe wa mabek wetuWale mabwana wangekua na washambuliaji,Juma2 tungeishia kubana miguu.Ila Yangaaa..Kazi anayo
Miongoni mwa mechi ya ku update ni hi ijayo. Tukae tu mkao wa kulaAfadhali aiseee. Japo nikwambie mdogo wangu siku hizi huyo Ghazwat mwenyewe kawa muoga huyo ana mechi na mechi za kutoa Updates.
Mimi ntakuwepo hewani labda shughuli za hapa na pale zinizidie. [emoji12][emoji12]
😂 😂UD Songo waje kukamilisha ratiba tu... tena waje bila viatu.
NGUVU MOJA
Yani ili uonekane nawe umekosoa unaacha kuongelea mechi ya Songo unaaza kuwasema akina As vita.tusidanganyane kwa wachezaj kama boko na wawa hatuwez toboa tukikutana na timu nzuri kama:whydad,esperance,etc mimi ni simba lialia lakin kwa maon yangu binafsi ud songo tutawatoa kwa vile sio wazur na foward wao hawapo makin.Kama ule uzembe wa mabek wetu
Tungekuwa tunacheza labda na timu hata kcca tu ya uganda shughul ingekuwa ishaisha. Kwa simba hii na jins uchebe anavopanga timu makund tutafika kwa vile msimu huu tuna fixture rahis kidogo compared to mwaka jana .. asilimia kubwa tukiwatoa ud songo tutacheza na platnumz ya zimbabwe ambao nao sio wazur sana kiivo.Lakin kwa neture ya hiz bek zetu na fowad anae pata nafs kumi anafunga moja hatutoboi wala sion tukivunja record ya mwaka jana.
MAONI
Imefika wakat sasa uchebe aache kupanga timu kwa kukariri ajaribu combineshen za bek wengine kama.. nyon na mbrazil ,au nyon na kened wilson yule alietoka singida au hata mlipil . kule mbele ni muda sasa wa kumpa mapumziko captain boko tuna vipaj ving .. uchebe aache kukariri upangaj wa timu
NB. Sina taaluma ya ukocha lakin kwa bek ya wawa na foward ya boko time will tell
mpira unachezwa hadharan boss.kila mtu ana uhuru wa kuongea anachokionaYani ili uonekane nawe umekosoa unaacha kuongelea mechi ya Songo unaaza kuwasema akina As vita.
Hii ni hatua kocha ndo anajua atumie mfumo gani, tuache ujuaji
Bocco ni majeruhi ila Wawa atacheza kama kawaida... Bora usije tu na game tutashindakama boko na wawa wanacheza binafs siend
Lakini mkuu striker ya Bocco na beki Wawa ndio walikuwepo msimu uliopita tukafika robo fainal.. Msimu huu kuna watu wapya wameletwa labda hawajazoeana kocha ndio anajua.mpira unachezwa hadharan boss.kila mtu ana uhuru wa kuongea anachokiona
uko sawa boss lakin tukiweka ushabik pemben tuongee kama wanamichezo wa kawaida...nadhan last season ulifatilia gemu tulizocheza away dhidi ya as vita, alahily soura na mazembe..ukifanya assesment kwa makin utagundua kwamba wawa ni bek mzur ila umri umemtupa mkono gemu zenye kas na presha kubwa za away haziwez anafanya makos kibao tuombe mungu na msimu huu tufike makund afu ntarud hapa kwenye hii threadLakini mkuu striker ya Bocco na beki Wawa ndio walikuwepo msimu uliopita tukafika robo fainal.. Msimu huu kuna watu wapya wameletwa labda hawajazoeana kocha ndio anajua.
Kwa Bocco kuna nafasi ya Deo Kanda + Da Silva ambae ni maperuhi, hapa Kanda atapata nafasi kulingana na mfumo au game plan ya kocha.
Kwa Wawa kucheza ni sawa sababu anauzoefu mkubwa kuliko KENEDY , labda MLIPILI Anaweza, kwa Tayron mbrazil ni ugeni wa soka la africa ila yuko vzr tu kuanza na NYONI kwa hiyo kocha ndio mtu wa mwisho.
Walishindwa mabingwa wenu wa kaskazini waweze hawa Wamakonde wa kuchini mwa nto Ruvuma!simba hatuchomoki tunafungwa hii mechi. FT: SIMBA 1 UD SONGO 3