The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
No, I don't think one can make a strong statement about all of us fairly. You will need to come down to the specifics cases with facts, where we are screwed!
otherwise you are saying that we are both fools "wananchi" and "Leaders" whom we given mandate with overwhelming votes of arround 10mil. people.
I beg to differ, If you are getting screwed, it's because you are allowing to be screwed.
May be because he is screwed like we do.............Here he comes again........!!!!!
Kuna nchi ukipandisha bei ya mkate tuu....wanaingia barabarani........... Lakini sisi tutabaki kulalama tuuuuuuu huku tukiununua huo mkate kwa bei ya juu.
Kuna nchi ukipandisha bei ya mafuta..........wanaingia barabarani........... Lakini sisi tutabaki kulalama tuuuuuuu huku tukiyanunua hayo mafuta kwa bei ya juu.
The same to NAULI, VYAKULA, ..........etc
Kifupi ni kuwa ni sisi wenyewe ndiyo tunaruhusu hali hiyo ya kuwa SCREWED iendelee.
Watu wanajifanya wanaandamana kuunga mkono kazi ya JK wakati hakuna lolote.......!!! NI KUJIPENDEKEZA KUSIKO NA TIJA WALA FAIDI HATA KWA HUYO JK....Waliorudisha hela za EPA wapo.......... na wanawajuwa.........lakini hawajafanywa chochoteee angalau hata kuwataja tukawajuwa......... Eti kesi ya mafisadi zipo mahakamani...!!!!! Hizo zinangoja uchaguzi upite halafu ziachwe kiaina.......... wengine wanajifanya kurumbana wao kwa wao.......lakini ni CHANGA LA MACHO TUU.........
Ni ujinga mkubwa sanaaaaaa kumuunga mkono mtu AKUSKRUUU........
Huyo JK ANA UWEZO MKUBWA SANA WA KUTUANSKRUU..........lakini kwa kuwalea wanaotuskruu hataweza.
Alianza na kutembelea wizara.........leo hii kimyaaaa na maagizo yote aliyoyatoa hamna kitu..........
Alifuata semina elekezi kule ngurudoto......... lakini imekuwa ziiiiiiiiiiiii................
Alitoa maagizo ya majereta ya kule Songea ....lakini alipoondoka tuu hali ikarudia kule kule.......... haya ni machache tuuu yapo mengi sana
Ni ukweli usiopingika kuwa anaweza akawa ana mazuri yake eg.. sura yake etc lakini UZURI WAKE KWA LOLOTE USIWE TIKETI YA KUTUSKRUU........
Until we feel the pain we will continue to be screwed and new screwers are coming next year..
Watanzania hawajui mkate!! Mkate ni wa mafisadi. Wananchi wa kawaida wao ni mandazi, chapati na vitumbua!!!!!
Kama uwanja wa ushindani haujasawazishwa, kwenda kwenye "uchaguzi" ni kupoteza muda. Unategemea uchaguzi huru na haki katika mazingira tuliyonayo ambapo katiba inampa mamlaka Rais Kikwete kuteua wajumbe wa tume ya uchaguzi ambao nao wanalazimika kumtii aliyewateua? Unatarajia nini ambapo mfumo tulio nao ni viongozi watendaji kuteuliwa na ama Rais au Waziri Mkuu na hakuna utaratibu wa bunge au chombo kingine kuwasaili? Unatarajia nini ambapo mfumo hautofautishi kati ya siasa na utaalamu?
Nchi hii ukiingia kwenye kinyang'anyiro cha siasa kama mpinzania siyo tu unakuwa unapambana na CCM bali unapambana na nguvu ya dola ikiwepo polisi, usalama wa taifa, majeshi ya ulinzi na usalama, tawala za mikoa na serikali za mitaa, mashirika ya umma (nk.).
I'm sorry to say this but the way things look from where I stand; we are simply screwed individually and as a nation! Or.. we are screwing ourselves.. otherwise, how can we explain the reality that we know too much but we do so little! We expect too much but we push for minimal? We have a lot of plans (short and long), strategies, visions, or whatever have you... but it seems like we have no idea what we really want (or need).
There are just a number of things that have come to me recently (I'll let Enigma inform you before the end of the week) I have come to this somber realization that either we are screwing ourselves, or somebody is screwing us! Either way, we are SCREWED!
Mzee Mwanakijiji, hali hii inatia hasira na uchungu, if hupendi kuwa screwed lakini unakuwa screwed any way, any how. ...................................Kwa vile ma screwer ambao ni wachache wanaenjoy screwing, na kuna wenzetu ambao ni wachache pia wana enjoy being screwed, majory ambao ndio kundi kubwa are either they don't know that they are screwed, ni kama mtindo wa popo bawa, akishamaliza ndipo unashtuka, hivyo they don't know shida zao, umasikini wao, mateso yao, yanasababishwa na screwer................................................................................... Akitokea mtu akawafikishia ujumbe kwa lugha wanaielewa kuwa they are screwed!, they will wake up na kulala macho, kuhakikisha popo bawa haendelezi hako kamchezo kwenye miili yao............................................Lakini kuna wengine wetu, ukiwemo wewe Mzee Mwanakijiji, umeshajua we are being screwed, there is something we can do to stop the scewer, you try to do that to stop them, you realise the few enjoying the screwing, have upper hand, you can either join them and try to stop from within, of fall out and be doomed forever, while screwing goes on.Tufanye nini?.