We are the other people

Nimeiquote tena usije ukafanya editing zako,
kama huna hoja ya kujibu kaa kimya tu au go back to sunday school ukaanze upya, siyo kuleta ujanja ujanja wako hapa wa kupindisha kiswahili na kuedit vipost vyako
Haha
 
Kabisa mkuu ..
 
Hahaha line ya mwisho dah !! Mbavu zangu
 


Yeah_sure mkuu,...hata uislam/qouran nayo its not our story....tunajipendekeza sana kwa wayahudi na waarabu.
Kabisa ni uongo tuliopachikwa wizi tu hakuna kingine
 
[ [[/COLOR]/QUOTE]

mmmmmmmmmmmh_hata sijaelewa...na pale nilipoelewa ninaishia kushangaa i.e iweje waisrael/wayahudi ndugu zake Yesu wamkatae mpaka sasa lakn kina yakhe kutwa kutoa mapovu mpaka kuuana.

Mkuu IGWE

Halafu kuna hii idea kwamba huyo mungu wa Israel baada ya watu wake (waisrael) kumkataa aliwageukia mataifa, kwanza sina uhakika na authenticity yake, sijui waliitoa wapi hii?

Ila inaibua maswali kadhaa,
huyu mungu wao ina maana hana msimamo?

Yaani watu wamataifa walikua na value tu pale alipotoswa na "Taifa lake Teule"?

Ina maana waisrael wasingemkataa mustakabali wa mataifa ungekuaje?[/QUOTE]Hahaha kwanza Mungu muweza wa yote anashindwa nini kutumia uweza wake wa yote ili akubalike na hao waisrael !!!? Yaani mungu muweza wa yote anashindana na watu tena kweli !!?
 
Sahihi kabisa
 

kwaiyo wasingemkataaa na kufuata masharti yake nadhani wangekua wamechinja watu wote middle east,maana Mungu wao aliwakataza wasibakishe mtu yeyote popote pale wanapopita, kwani ni chukizo kwake[/QUOTE]Hahaha
 
waislamu ndio hata maandiko ni lazima utumie kiarabu,yani hii inathibitisha kabsa haki milki ni ya waarabu
Naam kabisa " yaani wana tawaliwa kifikira bila ya kujijua na wameaminishwa kuwa hiyo ndio lugha ya peponi ...

Eti mungu aliiachagua lugha hiyo kuwa ndio lugha bora kuliko zote duniani ...dah !!! Imani hizi ..duniani kuna vituko sana
 
kwaiyo wasingemkataaa na kufuata masharti yake nadhani wangekua wamechinja watu wote middle east,maana Mungu wao aliwakataza wasibakishe mtu yeyote popote pale wanapopita, kwani ni chukizo kwake

Swali la msingi hili.....!!!!!!!!!!!!!!!! and...??????????????????????????[/QUOTE]Finally wakaona wamkane tu huyo mungu wao -- haiwezekani mungu awe katili kiasi hicho ..mungu ana amrisha mauaji ya watu ..(vichanga mpaka wazee kweli !! )
 
Ninachoamini ni kwamba hizi dini au imani ni kama mwamvuli Wa kujificha ili Mtu afanye ujinga wake kwa kivuli cha dini.
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Hahahaha "
 
Haha haahA jamaa anabishana hana mantiki kabisa... baada ya kugundua kuwa kweli dini zao ni kanyanja anajikuta analazimika tu kuzitetea ili Walau ajifariji " maana hataki kuamini kwamba alicho karilishwa kilikuwa ni matango pori " wakati ndio ukweli halisi
 
Jamaa wanaumia -- wanaona tabu kuwa na mwanzo upya
 
Safi Sana ...inapendeza kuon watu wanajitambu kiasi hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…