nadhani tustick kwenye maandiko ,maana tukiingiza scientific views about creation ni very different,tukianza hata existance ya Mungu itakua questioned
katika kitabu cha mwanzo kuna creation 2, wale walioambiwa mzaane mkaongezeke mkaijaze dunia na mkatawale viumbe wote na kuna mwingine ambaye aliumbwa akawekwa kwenye bustani ya eden (Babu Adam) ailimelime nadhan kalikua kaproject fulani kalikua kanafanyika, akapewa masharti ya namna ya kuishi,kuvaa na vitu asivyotakiwa kula na ndio kinachomsumbua mpaka leo mara hivi haram mara vile halal
sisi wengine ambao tuliumbwa huko tukaijaze dunia tukawa hatuna sababu ya kufuata visheria vya hapa na pale na ndio mana tulikua na vitaratibu vyetu vya kuishi hatuna waswas wa kuoa wanawake tunaowataka,wawe 10 au 20 twende kazi,tunakula tunachotak kitimoto,mamba,nyoka yote mboga kwetu na ilimradi sio sumu basi si haram.
tunaposema we are the other people ni jambo lililo dhahiri kabsa kwani hatufanan kwenye kula,kunywa,kusali,kuoa nk(culture)na wala hatuna dhambi ya asili ya kula tunda we are perfect since day one na ndio mana tunapata tabu kufuatafuata sheria kwa sababu hatukuumbwa kufollow hizo sheria ,sisi tuna makubaliano yetu na Miungu wetu
NB.Nanukuu maneno ya Bwana Yesu kwenye agano jipya tunaona Bwana Yesu alivyomkatalia yule mdada kumponya kisa hakua myahudi akamwambia 'si vema kuwapa chakula cha watoto mbwa' (Marko 7;24),hebu fikiria kwa sabab ww sio myahudi unaitwa mbwa.halaf soma tena (mathew 7;6) hilo neno mbwa linatajwa akiturefer watu wa mataifa, halaf malizia na maagizo aliyowapa mitume 12 (mathew 10;5)
hapo utajua kwamba yesu hakuja kwajili yetu bali kwa waisrael hata hadithi nzima haituhusu kabisa kwa sababu
WE ARE THE OTHER PEOPLE