We CHADEMA, umepiga pigaje hapo?

Ogopa ndugu watu kama hao. Ni mashetani
 
Kwa hiyo serikali yaCCM inayoilaumu serikali ya Israeli kuhusu vita vya Gaza na yenyewe imeshitakiwa huko UN kuminya demokrasia?
 
Pole sana
 
Unaweza ukawa sahihi lakini kikubwa ujumbe umefika kwa walengwa
Afadhali Chadema wamethubutu na mapungufu yao (ambayo kila Taasisi vikundi etc vina mapungufu) So tusiwabeze bali tuunge mkono juhudi zao kuliko kuvunjana moyo. aciti nccr cuf sijui ni mfano wa ๐Ÿ‘ au ni mjumuiko wa vikao vya kupeana pesa. Seriously! eti wakikaa kikao laki 2 kila mtu. Msajili tusaidie kufuta hivi vyama vya udanganyifu na ulaghai. Heavy kuadimika shida imezidi mawazoโ€ฆ

Chadema leo dunia imesikia karibu kunakucha. Congrats nyingi kwenyu
 
Kipimo chako cha ujinga ni
GPA 4
 
Well
 
Mi ninachoamin CCM inacheza hesabu kali sana. Kwanza Mambo mengi sasa hiv hayaend sawa so kila cku wanatafuta kitu cha kufanya ili watanzania wabaki kukizungumzia wasahau shida zao. Pili. CCM naamin wanacheza na chadema. Wanawaachia waseme kila kitu mpaka viishe halafu 2025 watakuwa hawana hoja mpya na hiz zilizoibuliwa zitakuwa baadhi washazitafutia majibu. Tatu. ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua ni kama vile CCM kuna kamsuguano flan wa chini chini so Mama anaona watu wa kumsaidia ni chadema so wanapewa pande flan inakuwa ni agenda ili kuwaweka watu flan bize wamsahau Mama apumue. Ni mtizamo tu Lakin.
 
๐Ÿ‘๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘๐Ÿ™๐Ÿ”Š๐Ÿ†’
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Faraja tutani!
 
2. Tuliambiwa watoto wao nao washiriki maandamo; Mbowe kuchukua watoto wote kuwapeleka front

3. Tuliambiwa maandamano ni vurugu,hakuna vurugu mwanzo mwisho.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mpaka leo dijaelewa, hayo maandamano yalihusu nini?
 
Naunga mkono hoja
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ