We CHADEMA, umepiga pigaje hapo?

We CHADEMA, umepiga pigaje hapo?

Acha mawazo ya hivyo.ulitaka watu wauawe ndo ujue ni maandamano ya amani.wanaoumiza watu ni wale wasiopenda amani ni hiyo nikwasababu wanakua hawajiamini kama wamefanya maendeleo kwa wananchi.Na dunia ya leo achana na tabia yakuamini mtu,sikiliza hoja zake kama zina mashiko zizingatie.ccm kamwe hawawezi kuratibu jambo linalowavua nguo.
Ogopa ndugu watu kama hao. Ni mashetani
 
Kwa hiyo serikali yaCCM inayoilaumu serikali ya Israeli kuhusu vita vya Gaza na yenyewe imeshitakiwa huko UN kuminya demokrasia?
 
Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini hata siku moja.

Kwa utulivu wa haya maandamano wala sitostaajabu ikiwa yameratibiwa na CCM kuonyesha kuna demokrasia.

Mbowe keshakunja mtonyo wake kazuga kupeleka watoto mbele.

Tanzania hakuna upinzani vyama vyote ni matawi ya CCM na viongoz wa upinzani wote ni vibaraka wa CCM.
Pole sana
 
Unaweza ukawa sahihi lakini kikubwa ujumbe umefika kwa walengwa
Afadhali Chadema wamethubutu na mapungufu yao (ambayo kila Taasisi vikundi etc vina mapungufu) So tusiwabeze bali tuunge mkono juhudi zao kuliko kuvunjana moyo. aciti nccr cuf sijui ni mfano wa 👝 au ni mjumuiko wa vikao vya kupeana pesa. Seriously! eti wakikaa kikao laki 2 kila mtu. Msajili tusaidie kufuta hivi vyama vya udanganyifu na ulaghai. Heavy kuadimika shida imezidi mawazo…

Chadema leo dunia imesikia karibu kunakucha. Congrats nyingi kwenyu
 
Kipimo chako cha ujinga ni
GPA 4
 
Well
 
Mi ninachoamin CCM inacheza hesabu kali sana. Kwanza Mambo mengi sasa hiv hayaend sawa so kila cku wanatafuta kitu cha kufanya ili watanzania wabaki kukizungumzia wasahau shida zao. Pili. CCM naamin wanacheza na chadema. Wanawaachia waseme kila kitu mpaka viishe halafu 2025 watakuwa hawana hoja mpya na hiz zilizoibuliwa zitakuwa baadhi washazitafutia majibu. Tatu. ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua ni kama vile CCM kuna kamsuguano flan wa chini chini so Mama anaona watu wa kumsaidia ni chadema so wanapewa pande flan inakuwa ni agenda ili kuwaweka watu flan bize wamsahau Mama apumue. Ni mtizamo tu Lakin.
 
Humu jamvini kimya ; unajua kwanini? Chadema wamecheza kama Pele katika angle zote
1. Viongozi wakuu wote wameshiriki akiwemo Lisu tuliyeambiwa ana ugomvi na Mbowe

2. Tuliambiwa watoto wao nao washiriki maandamo; Mbowe kuchukua watoto wote kuwapeleka front

3. Tuliambiwa maandamano ni vurugu,hakuna vurugu mwanzo mwisho.

4. Tuliambiwa wanaoandamana wanafikiri kwa kutumia nyayo; polisi na mkuu wa Mkoa wameandamana kila mmoja kwa njia yake sambamba na waandishi wa habari sidhani kama Nchimbi anaamini jeshi la polisi wanatumia nyayo kufikiri wala wana habari

5. Tuliambiwa maandamano yanalenga kupambana na SSH, maandamano yamejikita kwenye kero za wananchi.

6. Tuliambiwa maandamano hayaleti msosi mezani; wanasiasa wameona mabango yanavyoreflect maisha ya wapiga kura. Wapo busy kutatua kero ikiwemo kushusha bei ya sukari ambayo kabla ya kusikia maandamano hakukuwa hata na kauli ya bei elekezi

7. Tukaambiwa Watanzania hawataki maandamano, wenye dola wameona mwitikio ulivyokuwa mkubwa. Wametambua Watanzania wanaelewa wanataka nini.

8. Tukaambiwa na viongozi, wakae kwenye mazungumzo. Natumai wameona mazungumzo ya umma yalivyo na nguvu kuliko mazungumzo ya siri ya wanasiasa

9. Tukaambiwa polisi watafanya usafi, RC kaishia kufanya yeye usafi polisi wamemkataa

10. Tukaambiwa ni utekelezaji wa 4R, umma unasema hakuna 4R za mashinikizo . 4r ni kuruhusu mifumo ya sheria ifumuliwe tuache kuvumiliana na kuheshimiana kwa nguvu ya dola tuheshimiane kwa kuzingatia katiba na sheria.
👍👌👏🙏🔊🆒
 
🤣🤣🤣 Faraja tutani!
 
3. Tuliambiwa maandamano ni vurugu,hakuna vurugu mwanzo mwisho.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mpaka leo dijaelewa, hayo maandamano yalihusu nini?
 
Humu jamvini kimya ; unajua kwanini? Chadema wamecheza kama Pele katika angle zote
1. Viongozi wakuu wote wameshiriki akiwemo Lisu tuliyeambiwa ana ugomvi na Mbowe

2. Tuliambiwa watoto wao nao washiriki maandamo; Mbowe kuchukua watoto wote kuwapeleka front

3. Tuliambiwa maandamano ni vurugu,hakuna vurugu mwanzo mwisho.

4. Tuliambiwa wanaoandamana wanafikiri kwa kutumia nyayo; polisi na mkuu wa Mkoa wameandamana kila mmoja kwa njia yake sambamba na waandishi wa habari sidhani kama Nchimbi anaamini jeshi la polisi wanatumia nyayo kufikiri wala wana habari

5. Tuliambiwa maandamano yanalenga kupambana na SSH, maandamano yamejikita kwenye kero za wananchi.

6. Tuliambiwa maandamano hayaleti msosi mezani; wanasiasa wameona mabango yanavyoreflect maisha ya wapiga kura. Wapo busy kutatua kero ikiwemo kushusha bei ya sukari ambayo kabla ya kusikia maandamano hakukuwa hata na kauli ya bei elekezi

7. Tukaambiwa Watanzania hawataki maandamano, wenye dola wameona mwitikio ulivyokuwa mkubwa. Wametambua Watanzania wanaelewa wanataka nini.

8. Tukaambiwa na viongozi, wakae kwenye mazungumzo. Natumai wameona mazungumzo ya umma yalivyo na nguvu kuliko mazungumzo ya siri ya wanasiasa

9. Tukaambiwa polisi watafanya usafi, RC kaishia kufanya yeye usafi polisi wamemkataa

10. Tukaambiwa ni utekelezaji wa 4R, umma unasema hakuna 4R za mashinikizo . 4r ni kuruhusu mifumo ya sheria ifumuliwe tuache kuvumiliana na kuheshimiana kwa nguvu ya dola tuheshimiane kwa kuzingatia katiba na sheria.
Naunga mkono hoja
P
 
Back
Top Bottom