We Dada Oriflame vipi?

We Dada Oriflame vipi?

Queenever

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
2,051
Reaction score
3,018
Wewe Dada wa Oriflame vipi jamani, kwani hayo matangazo yako ya Oriflame huwezi kuyaweka kwenye Uzi mmoja?? Chaaa

Kwa taarifa yako hata kama mtu angesoma hasomi sasa, nani anamuda wa kufungua nyuzi zote izo?? Huko oriflame hamfundishwi jinsi ya hata ku advertise biashara zenu? Nimekushangaaa

Sasa nakufundisha .. weka taarifa zote kwenye uzi mmoja ili mtu akisoma anamaliza yote kwa mpigo, la unajichosha tu.

AHSANTE
 
We Dada wa oriflame vipi jamani, kwani hayo matangazo yako ya oriflame huwezi kuyaweka kwenye Uzi mmoja?? Chaaa

Kwaatarifa yako hata km mtu angesoma hasomi sasa,,nani anamuda wa kufungua nyuzi zote izo?? Huko oriflame hamfundishwi jinsi ya hata ku advertise biashara zenu??? Nimekushangaaa

Sasa nakufundisha ..weka taarifa zote kwenye uzi mmoja ili mtu akisoma anamaliza yote kwa mpigo,,la unajichosha tu. AHSANTE
[emoji23]
 
Mi mwenyewe kanichosha kila nikiscroll nakutana na tangazo nimetamani ningekuwa insta ningemunfollow faster
 
Mi mwenyewe kanichosha kila nikiscroll nakutana na tangazo nimetamani ningekuwa insta ningemunfollow faster
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huku kuna kitu cha ku ignore,ikifika post ake unaona spoiler alert mpaka uamue kuifungua. Usipoifungua huoni nini kaandika
 
Back
Top Bottom