[emoji23]We Dada wa oriflame vipi jamani, kwani hayo matangazo yako ya oriflame huwezi kuyaweka kwenye Uzi mmoja?? Chaaa
Kwaatarifa yako hata km mtu angesoma hasomi sasa,,nani anamuda wa kufungua nyuzi zote izo?? Huko oriflame hamfundishwi jinsi ya hata ku advertise biashara zenu??? Nimekushangaaa
Sasa nakufundisha ..weka taarifa zote kwenye uzi mmoja ili mtu akisoma anamaliza yote kwa mpigo,,la unajichosha tu. AHSANTE
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mi mwenyewe kanichosha kila nikiscroll nakutana na tangazo nimetamani ningekuwa insta ningemunfollow faster
Roho mbaya hiyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huku kuna kitu cha ku ignore,ikifika post ake unaona spoiler alert mpaka uamue kuifungua. Usipoifungua huoni nini kaandika
Nimeua paka kwa kucha???Roho mbaya hiyo