We Dada Perfume Yako Nzuri Sana

Nimemwambia hivo dada mmoja jirani yangu nashangaa ananijibu eti "eeh kujenga nishindwe hadi kupendeza nishindwe" huku anajichekelea mwenyewe kwa furaha.

Nimeshindwa kuelewa perfume inamfanya vp mtu kupendeza?
Angetakiwa tu kusema Ahsante, mwingine unamuambia umependeza badala ashukuru anajibu...uzuri nao umechangia..shida kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…