We endelea kusema Uzuri wa Mwanamke siyo Sura ni Tabia. Kujifariji

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,189
Reaction score
6,450
Binadamu siku zote tuna tabia ya kujifariji baada ya kukosa. Wachache sana hukabiliana na Ukweli.

Watu wameumbwa tofaut tofaut kuchagua mwanamke au mwanaume (kwa wadada) mzuri si dhambi. Siyo mnakuwa na waume zenu hao mlio nao halafu mnataka kuzaa na sisi...

Mwanaume umeo mke sura kama chloroquine au mwarobaini...unasema ana tabia nzuri.sawa.unadhani kwa sura yake angekuwa na tabia gani zaidi ya hiyo ili angalau aolewe?

Screenshot_20190108-162745~2.png

Uzuri nao unachangia sana oa mwanamke mzuri kipindi hiki ili usije babaika ukija pata pesa ukagundua kumbe sasa unaweza pata watoto wakali zaidi.
 
View attachment 989342
Uzuri nao unachangia sana oa mwanamke mzuri kipindi hiki ili usije babaika ukija pata pesa ukagundua kumbe sasa unaweza pata watoto wakali zaidi.
IMG_20190104_213127_289.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂 Kumbe na nyie mnaangalia? Kuna watu wanasura kama wanazuia kikohozi au chafya.
Naunga mkonyo hoja.
Mimi mwenyewe mwanaume mwenye sura kama ametoka usingizini, au anataka kupiga chafya ikarudi sitaki[emoji14][emoji14][emoji14]nani aje azae watoto wabaya wateseke kupata wachumba[emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkonyo hoja.
Mimi mwenyewe mwanaume mwenye sura kama ametoka usingizini, au anataka kupiga chafya ikarudi sitaki[emoji14][emoji14][emoji14]nani aje azae watoto wabaya wateseke kupata wachumba[emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
@Kiduku Lilo
Maneno yenu yanaashiria kuwa mnao uwezo wa kuumba binaadamu mtakavyo nyie!!! THINK BIG !!
 
Back
Top Bottom