Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Binadamu siku zote tuna tabia ya kujifariji baada ya kukosa. Wachache sana hukabiliana na Ukweli.
Watu wameumbwa tofaut tofaut kuchagua mwanamke au mwanaume (kwa wadada) mzuri si dhambi. Siyo mnakuwa na waume zenu hao mlio nao halafu mnataka kuzaa na sisi...
Mwanaume umeo mke sura kama chloroquine au mwarobaini...unasema ana tabia nzuri.sawa.unadhani kwa sura yake angekuwa na tabia gani zaidi ya hiyo ili angalau aolewe?
View attachment 989342
Uzuri nao unachangia sana oa mwanamke mzuri kipindi hiki ili usije babaika ukija pata pesa ukagundua kumbe sasa unaweza pata watoto wakali zaidi.
Naunga mkonyo hoja.
Mimi mwenyewe mwanaume mwenye sura kama ametoka usingizini, au anataka kupiga chafya ikarudi sitaki[emoji14][emoji14][emoji14]nani aje azae watoto wabaya wateseke kupata wachumba[emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app

@Kiduku LiloNaunga mkonyo hoja.
Mimi mwenyewe mwanaume mwenye sura kama ametoka usingizini, au anataka kupiga chafya ikarudi sitaki[emoji14][emoji14][emoji14]nani aje azae watoto wabaya wateseke kupata wachumba[emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
@Kiduku Lilo
Maneno yenu yanaashiria kuwa mnao uwezo wa kuumba binaadamu mtakavyo nyie!!! THINK BIG !!
We ni mzuri lakini maana research inaonesha mademu wenye sura mbaya na broke ndo wanaongoza kwa kua choosy!Wewe mwenyewe ukitaka mwanamke unaanza kumfanyia evaluation kwanzia utosini hadi kwenye unyayo.
Stop being Fake.[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
@Kiduku Lilo
Maneno yenu yanaashiria kuwa mnao uwezo wa kuumba binaadamu mtakavyo nyie!!! THINK BIG !!
We ni mzuri lakini maana research inaonesha mademu wenye sura mbaya na broke ndo wanaongoza kwa kua choosy!
K
Mtume mwenyewe ashawahi kumkataa mwanamke mbaya. We vipi.... Uzuri na ubaya upo tu waka si issue.
Kwahiyo sisi wenye sura mbaya tukajinyonge sio?Naunga mkonyo hoja.
Mimi mwenyewe mwanaume mwenye sura kama ametoka usingizini, au anataka kupiga chafya ikarudi sitaki[emoji14][emoji14][emoji14]nani aje azae watoto wabaya wateseke kupata wachumba[emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
**** la mama yako potelea mbali nikila ban!Sasa ilikuwaje akakataa mbaya akaenda kubaka kibinti cha miaka tisa
Sent using Jamii Forums mobile app