babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Ahaa haa,
[emoji14] [emoji1787]
amekupiga mpaka umepoteza muelekeo [emoji854][emoji854]. Unaanza sijui kusema lugha ya maikia inaleta na kuongeza chakula mezani.
poor you. Kuna watu hawajui hata hicho kiingereza mnachojifanya mnajua lakini wakawapiga kwenye SGR.
Bwa haha ha ha ha
Katika vilaza wa Jf ww ndo unashikilia namba moja, na asante kwa kuendelea kushikilia rekodi ya ukilaza JF [emoji4][emoji4][emoji4]
Wachina hawaongei kingereza lakini wanawapapasa wakenya balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
If you see a man is drowning, you can't wait for him to ask for your assistance, you go and rescue him, that is exactly what China and Tanzania are doing for Kenya.No wonder you can't speak English to save your life.
Kenya does not go begging for donations like LDC.
Receiving is different from asking.
When someone offers, we can't tell them to go back to their country with it.
acha uoga wa kijinga ww hata nchi kubwa balan ulaya wana import some food stuff ss kwann isiwe kenya ? kumbuka kwanza imetokea kama dharura production this year has fallen ss hakuna njia mbadala ni lzm uimport ili watu wasife...au ww hautakula ugali sababu unga unatoka nje ya kenya ? ...As a Kenyan its shameful when we have to buy food from other countries we need to be more self reliant and independant. We need to do better and be better as a people.
Am optimistic that we will eventually get our act together.
And this goes to both Kenyans π°πͺ And Tanzanians πΉπΏ
View attachment 1166588
ukiwa na iyo akili hata ktk maisha yako ya uhalisia sio ya JF HAKIKA UTAISHI KWA TABU SANAA ...Leta hiyo mkataba hapa, all I know is that you are king of rumours. You're talking about maktaba wakati mahindi kutoka Tz umekwama pale Namanga na Mombasa.
acha uoga wa kijinga ww hata nchi kubwa balan ulaya wana import some food stuff ss kwann isiwe kenya ? kumbuka kwanza imetokea kama dharura production this year has fallen ss hakuna njia mbadala ni lzm uimport ili watu wasife...au ww hautakula ugali sababu unga unatoka nje ya kenya ? ...
Usikute hii report ya March.
If you see a man is drowning, you can't wait for him to ask for your assistance, you go and rescue him, that is exactly what China and Tanzania are doing for Kenya.
Usikute hii report ya March.
Asa past three months kumbe I thought usually as Kenya the way they are facing hunger and famine.
Is better Tz we have people facing hunger but no famine.
In kenya both hunger and famine gonna finish you.
Idiot.
You are talking of the same thing.
Kenyans in Turkana occasionally face hunger due to drought (very dry weather).
Tanzania face hunger because of laziness. Good weather but you're the laziest people on earth.
Hehehehehe watanzania gani wana face hunger [emoji23][emoji23][emoji23] au umeishiwa argument
Did you miss my last screenshot?
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials
Most Tanzanians have experienced hunger in the past three months, with food shortages most severe in drought-hit rural areas, a countrywide survey found, despite government denials of a food crisis.www.reuters.com
View attachment 1169039
Sasa si mnunue huko. Nani kawazuia?We are doing your farmers a favour coz we can opt to buy from Ethiopia ,Uganda ,Mexico e.t.c.
Furthermore tunanunua mahindi pesa taslim si ati mnatupea .
Idiot.
You are talking of the same thing.
Kenyans in Turkana occasionally face hunger due to drought (very dry weather).
Tanzania face hunger because of laziness. Good weather but you're the laziest people on earth.