joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wewe ni mbuzi kabisa, katika muda huu ambapo Tanzania ndio nchi pekee yenye mahindi na kila nchi inakimbilia Tanzania kuhitaji mahindi, hiki ndio kipindi muafaka cha sisi kuweka conditions kwa faida ya viwanda vyetu. Acha kuzungumza mambo toka kichwani mwako, Kenya wameomba tani 1.5M lakini tumewapa 1M kwasababu kuna Zimbabwe tulishawapa tani laki 7. Demand ni kubwa kuliko uwezo WETU bado wewe unazungumza habari ya wakulima kukosa soko.Wewe ni mwehu na akili umeifunga ili isielewe.
Mimi sikatai kwamba unga usiuzwe kenya katika kuongeza thamani, I support any value adding move for any products we produce let alone maize.
Swali ni hili kama hawataki unga na wanataka mahindi, je utawauzia au utawalazimisha wanunue unga wako (usiokidhi viwango vyao??)[emoji848]-- wakati huo huo wanaweza kuagiza mahindi hayo nje ya East Afrika, na wakati huohuo maghala ya taifa ya kuhifadhi mahindi yamejaa huku wakulima mahindi yao yanakosa soko!!, huoni hiyo ni another korosho saga??!!,
Unazuia kusafirisha mchanga wa madini nje wakati bado hujui utajenga lini mitambo ya kuchakata humu ndani??!!, stupid, kitu ambacho kilichotakiwa kifanyike ni udhibiti wa kiasi gani cha mchanga na kwa thamani gani mchanga unagharimu halafu tuwatoze thamani ya mchanga na tupate mapato kwa ajili ya maendeleo ya nchi huku tukitafuta njia ili uchakataji ufanyike hapahapa nchini.
Unang'ang'ania tu kuongeza thamani lakini maarifa ya kuongeza hiyo thamani ni "ujinga" mtupu, ongeza thamani huku ukiangalia in broad spectrum repercussions zake.
Huko ndiko kufanya mambo kwa akili ingawa in the first place wasiofikiri vyema wanaweza kuona ume loose.
Kwa taarifa yako, kitendo cha Tanzania kupiga marufuku usafirishaji wa mchanga wa MADINI, wafanya biashara wa China wameona hiyo ni opportunity tayari wameshapewa kibali cha kujenga kinu cha kuchenjua huo mchanga hapa nchini, jambo ambalo lilishibdikana kwa zaidi ya miaka 40 sasa kutokana na mawazo ya kipumbavu kama hayo yako.
Hivi unajua kwamba maiti haipati shida kama wanavyopata shida watu walio hai?. Mtu mjinga na mpumbavu huwa hajijui kama ni mpumbavu, ila wanaomsikiliza ndio wanajua ni kiasi gani huyo mtu alivyo mpumbavu.