We gonna no longer sell maize to Kenya! 😒😡

We gonna no longer sell maize to Kenya! 😒😡

Wewe ni mwehu na akili umeifunga ili isielewe.

Mimi sikatai kwamba unga usiuzwe kenya katika kuongeza thamani, I support any value adding move for any products we produce let alone maize.

Swali ni hili kama hawataki unga na wanataka mahindi, je utawauzia au utawalazimisha wanunue unga wako (usiokidhi viwango vyao??)[emoji848]-- wakati huo huo wanaweza kuagiza mahindi hayo nje ya East Afrika, na wakati huohuo maghala ya taifa ya kuhifadhi mahindi yamejaa huku wakulima mahindi yao yanakosa soko!!, huoni hiyo ni another korosho saga??!!,

Unazuia kusafirisha mchanga wa madini nje wakati bado hujui utajenga lini mitambo ya kuchakata humu ndani??!!, stupid, kitu ambacho kilichotakiwa kifanyike ni udhibiti wa kiasi gani cha mchanga na kwa thamani gani mchanga unagharimu halafu tuwatoze thamani ya mchanga na tupate mapato kwa ajili ya maendeleo ya nchi huku tukitafuta njia ili uchakataji ufanyike hapahapa nchini.

Unang'ang'ania tu kuongeza thamani lakini maarifa ya kuongeza hiyo thamani ni "ujinga" mtupu, ongeza thamani huku ukiangalia in broad spectrum repercussions zake.

Huko ndiko kufanya mambo kwa akili ingawa in the first place wasiofikiri vyema wanaweza kuona ume loose.
Wewe ni mbuzi kabisa, katika muda huu ambapo Tanzania ndio nchi pekee yenye mahindi na kila nchi inakimbilia Tanzania kuhitaji mahindi, hiki ndio kipindi muafaka cha sisi kuweka conditions kwa faida ya viwanda vyetu. Acha kuzungumza mambo toka kichwani mwako, Kenya wameomba tani 1.5M lakini tumewapa 1M kwasababu kuna Zimbabwe tulishawapa tani laki 7. Demand ni kubwa kuliko uwezo WETU bado wewe unazungumza habari ya wakulima kukosa soko.

Kwa taarifa yako, kitendo cha Tanzania kupiga marufuku usafirishaji wa mchanga wa MADINI, wafanya biashara wa China wameona hiyo ni opportunity tayari wameshapewa kibali cha kujenga kinu cha kuchenjua huo mchanga hapa nchini, jambo ambalo lilishibdikana kwa zaidi ya miaka 40 sasa kutokana na mawazo ya kipumbavu kama hayo yako.

Hivi unajua kwamba maiti haipati shida kama wanavyopata shida watu walio hai?. Mtu mjinga na mpumbavu huwa hajijui kama ni mpumbavu, ila wanaomsikiliza ndio wanajua ni kiasi gani huyo mtu alivyo mpumbavu.
 
Herein you are talking shit, you should say "we need one another", for mutual benefits either now or in the future.

His coming is basically to strengthen our the then "ailing" relationship, full stop.
Before quoting me and appointing yourself a corrector Ungesoma previous posts that I had quoted ungefaidika kuliko kukurupuka kuniquote without factual.
 
Wewe ni mbuzi kabisa, katika muda huu ambapo Tanzania ndio nchi pekee yenye mahindi na kila nchi inakimbilia Tanzania kuhitaji mahindi, hiki ndio kipindi muafaka cha sisi kuweka conditions kwa faida ya viwanda vyetu. Acha kuzungumza mambo toka kichwani mwako, Kenya wameomba tani 1.5M lakini tumewapa 1M kwasababu kuna Zimbabwe tulishawapa tani laki 7. Demand ni kubwa kuliko uwezo WETU bado wewe unazungumza habari ya wakulima kukosa soko.

Wewe akili yako ipo chini kuliko samaki akilala usingizi.

Demand hiyo ni ya mwezi, miezi, mwaka, miaka au ??.

We are talking about permanent business, na hicho ndicho watu weupe wanatuzidi by far, wao hupanga mipango yao kwa muda mrefu sana, sasa baada ya hiyo demand kuisha what comes next??!,

Hiyo biashara lazima iwe ni ya muda mrefu (miaka), ama tunazungumzia petty business hapa? ?
 
You know very well that Tanzania is not interested with Kenya, neither EAC. Tanzania is very much happy and comfortable with SADC.
Only a fool will write such a post, well Kenya is also comfortable with comesa , and remember some of the sadc countries are in comesa too.
 
Wacha kujidanganya wewe...unga ule mfuko wa 2kg ulikuwa ksh80...sai umepanda bei kw ajili ya ukosefu wa mahindi...

Yani watanzania wana vituko...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kshs 80 unajua Tanzania the same package of Unga costs how much?
 
Wewe akili yako ipo chini kuliko samaki akilala usingizi.

Demand hiyo ni ya mwezi, miezi, mwaka, miaka au ??.

We are talking about permanent business, na hicho ndicho watu weupe wanatuzidi by far, wao hupanga mipango yao kwa muda mrefu sana, sasa baada ya hiyo demand kuisha what comes next??!,

Hiyo biashara lazima iwe ni ya muda mrefu (miaka), ama tunazungumzia petty business hapa? ?
Jinga wewe na pumbavu sana, wewe ni pumbavu tena pumbavu wa level ya PHD. Hivi hujui kwamba wakati wa " high season" ticket za ndege zinakua Mara 4 ya bei ya kawaida?.

Kwa taarifa yako Research zote zinaonyesha kwamba chakula kitaendelea kupungua kwa miaka mingi ijayo, hasa katika nchi za Africa. Acha ujinga wewe, jaribu kutumia Ubongo badala ya makohozi.
 
Kwa taarifa yako Research zote zinaonyesha kwamba chakula kitaendelea kupungua kwa miaka mingi ijayo, hasa katika nchi za Africa. Acha ujinga wewe, jaribu kutumia Ubongo badala ya makohozi

Wewe ni furukobe mkubwa, wenzako wanashika mkojo wewe unashika mavi.

Mimi nimekuambia biashara ninayoizungumzia ni long term oriented na siyo short term kama akili yako ilivyokuwa short, na hapo umeniunga mkono kwa kutaja research kuhusu kupungua uzalishaji kwa mazao katika muda ujao. Unapinga nini na unakubali nini??. Wewe utakuwa ulipata 0 huko shuleni kwani kichwa chako hakina tofauti na firigisi ya kuku iliyojaa kinyeshi na mchanga tu.
 
We are working smart, adding value and boost value chain in our processing industry thus getting best price, makinikia ya mahindi JPM kasema no.
Mark my words Kenya will not import flour from Tanzania. We will find other maize producers eg We get our wheat from America and Russia (70% of supply), Rice from pakistan and India, and we will get maize from Mexico. We will not import flour from any country. You can keep your maize.
Remember Bakhresa flour was heavily taxed and did not make it in the Kenyan market.

"Kenya has defied a recommendation from the East African Community (EAC) secretariat to allow imports of wheat flour and rice from Tanzania.
A report from the EAC Council of Ministers meeting last week indicate that Kenya ignored the technical guidance issued by the secretariat on February 6 calling on Kenya to allow imports of wheat products and rice from Tanzania." ~Nation Daily
 
Kwhyo umekubali km mnauliwa
Hahahaha, we are not interested in trading with you, when you request us to trade with you, we are the ones who decide how terms and conditions should look like. Hahahaha
 
Hahahaha, jinga kabisa wewe, mliagiza Mexico kwasababu hatukuwa na mahindi ya ziada, other wise your first point of call is Tanzania and Uganda.

I repeat, Tanzania we don't sell our food to Kenya, our biggest business partners are SADC countries. We sell you maize only on request from GoK, therefore we are the ones who dictate terms and conditions.

Kenya can't win any business war against Tanzania, zaidi ya kulalamika tukichoma vifaranga na kukamata Ng'ombe zenu, hamna la kutufanya, mnatuogopa sana

Let me repeat this slowly.
NOBODY CARES WHETHER YOU SELL TO US OR NOT.

You are not the only country that plants maize. Mexico maize is cheaper than Tanzanian.
 
Unga price has never been in low in Kenya even after u had all along milled! Reason being carteling supported by protectionism! If at all u r free market u should allow our flour find its ways to ur shelves n see the difference! U r a small boy ur top guys r already in Dar negotiating!

Lol.
What is your definition of low?
Sh124 for unga is low.
Unga is the only product in Kenya that does not follow the inflation curve.
Things like bread and sugar have doubled in price, during the same period that unga has averaged Sh100 to Sh130.
 
Let me repeat this slowly.
NOBODY CARES WHETHER YOU SELL TO US OR NOT.

You are not the only country that plants maize. Mexico maize is cheaper than Tanzanian.
Hahahaha, is not only about maize, you have over 500 Kenyans companies operating in Tanzania, your textile industry depends on Tanzania by 80% of its cotton supply, all your goods to and from Southern countries pass through Tanzania.

Be very careful when you deal with Tanzania, we are the heart beats of your Economy, Uhuru Kenyatta knew about this, that's why he went Chato to normalize the relationship.
 
Serikali yao inatambulia hilo 100% [emoji23][emoji23][emoji23] usiangaike kuwajibu hawa propagandists wa JF
Hahahaha, is not only about maize, you have over 500 Kenyans companies operating in Tanzania, your textile industry depends on Tanzania by 80% of its cotton supply, all your goods to and from Southern countries pass through Tanzania.

Be very careful when you deal with Tanzania, we are the heart beats of your Economy, Uhuru Kenyatta knew about this, that's why he went Chato to normalize the relationship.
 
Hahahaha, is not only about maize, you have over 500 Kenyans companies operating in Tanzania, your textile industry depends on Tanzania by 80% of its cotton supply, all your goods to and from Southern countries pass through Tanzania.

Be very careful when you deal with Tanzania, we are the heart beats of your Economy, Uhuru Kenyatta knew about this, that's why he went Chato to normalize the relationship.

The heartbeat of our economy indeed.
You are no different from those young men who sit in groups all day chewing miraa and daydreaming.

You think that you sustain our economy, yet you continue being LDC. Help yourself first.

You are not even our biggest trading partner in East Africa.
 
Ldc ni herufi tu my friend [emoji23][emoji23][emoji23] alafu nikuulize mbona raia wa ldc hawana njaa kama nyie mnaojidai mna uchumi mkubwa
The heartbeat of our economy indeed.
You are no different from those young men who sit in groups all day chewing miraa and daydreaming.

You think that you sustain our economy, yet you continue being LDC. Help yourself first.

You are not even our biggest trading partner in East Africa.
 
Keep feeding on your own propaganda. You'll get tired.
Kenyans consume more food than Tanzanian. All kind of foods.
From meat to eggs to poultry. And FAO has all the data.

Aha haaa
Kujilisha upepo. You consume more food than what Tanzanians do. But suprisingly you are also more starving than Tanzanians.
Gi me a break.
 
This is good to my standing, coz processing and selling flour yield much profit than selling unprocessed maize
 
Back
Top Bottom