We hate u manchester city & azam..!!

We hate u manchester city & azam..!!

gango2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
1,956
Reaction score
2,274
No one loves you manchester city also Azam FC!! may be wale wanafiki wasiopenda timu flani ichukue tena ubingwa safari hii na ambao timu yao imepoteza matumaini kabisa!!!
 
wewe yanga wewe, TENA arsenal damu damu!!!

Wala, mimi siyo arsenal ila kweli Mimi YANGA NA NEWCASTLE UNITED! Unaweza kuthibitisha kwa post zangu za zamani! Halafu wewe ni Munyama na Man U! Unamkumbuka Demba Ba? Tumesajili nduguye Cisse Ba! Mtatujua!!
 
mbona hizi ni timu za ukweli kwa sasa ...
 
Ukiichukia Azam basi hupendi maendeleo ya soka la Tanzania! Tunahitaji azam nyingine kama tatu hivi, kuondoa ubwege wa Simba na Yanga. Miaka mingi wapo lakini hawana maendeleo yoyote!
 
muambie huyooo maana hajui aliandikalo..
 
No one loves you manchester city also Azam FC!! may be wale wanafiki wasiopenda timu flani ichukue tena ubingwa safari hii na ambao timu yao imepoteza matumaini kabisa!!!

wewe na nani ndio unachukia chama city na azam..:lol:
 
Hivi thread ya man united mbona hatuanzishi au ipo..
 
Acha utararira weweee,unachukia wewe mwenyewe.Wewe kama nanin kuzungumzia fikra ya mtu mwingine??

Mnafiki kubwa wewe usie penda maendeleo ya timu pinzani,kweli wewe si shabiki hata nadhani iyo timu unayotaka ichukue ubingwa.
 
Acha utararira weweee,unachukia wewe mwenyewe.Wewe kama nanin kuzungumzia fikra ya mtu mwingine??
Mnafiki kubwa wewe usie penda maendeleo ya timu pinzani,kweli wewe si shabiki hata nadhani iyo timu unayotaka ichukue ubingwa.
 
Wala, mimi siyo arsenal ila kweli Mimi YANGA NA NEWCASTLE UNITED! Unaweza kuthibitisha kwa post zangu za zamani! Halafu wewe ni Munyama na Man U! Unamkumbuka Demba Ba? Tumesajili nduguye Cisse Ba! Mtatujua!!

NEW CAST UNITED teh teh pole sana!!!
 
Ukiichukia Azam basi hupendi maendeleo ya soka la Tanzania! Tunahitaji azam nyingine kama tatu hivi, kuondoa ubwege wa Simba na Yanga. Miaka mingi wapo lakini hawana maendeleo yoyote!

kwani umesikia hao azamu ndo wameleta mapinduzi katika soka la bongo??? teh teh pole
 
Acha utararira weweee,unachukia wewe mwenyewe.Wewe kama nanin kuzungumzia fikra ya mtu mwingine??
Mnafiki kubwa wewe usie penda maendeleo ya timu pinzani,kweli wewe si shabiki hata nadhani iyo timu unayotaka ichukue ubingwa.

teh teh sijawah ona mtu asiyeweza kufikiri kama wewe!! wew shabiki gani wa mpira unayependa timu pinzani ichukue ubingwa au umejisikia kutukana tuu. tumia akili kaka, ndio maana ya ushabiki
 
pole sana fan wa manure from old trashfold..
 
No one loves you manchester city also Azam FC!! may be wale wanafiki wasiopenda timu flani ichukue tena ubingwa safari hii na ambao timu yao imepoteza matumaini kabisa!!!

hata kwetu mpo,msopenda mafanikio ya wenzenu
 
Back
Top Bottom