We have new Celebrity!

We have new Celebrity!

Watanzania kwa kupenda umaarufu hatujambo.
Ndio maana watu huwa wanajitoa fahamu kufanya mambo ya kipumbavu ili tu wafahamike na kuongelewa.

Anyways...jamaa ni katutoa kimasomamo kimtindo.
Hongeza zake.
 
Unajua maana ya kushinda Olympic games!??
 
Ha ha wabongo soo Olympics inayo matter ni medal sio longolongo zingine
 
Hilal Ametutoa kimasomaso olympic baada ya kushinda kuogelea 50m ya wanaume free style!
Wajuzi wa kupandisha video wasaidie from you tube sie wengine wa zamani and conservative!
Hivi ameshinda? Nafasi ya 49 kumbe ni ushindi..
Watanzania kwa kupenda umaarufu hatujambo.
Ndio maana watu huwa wanajitoa fahamu kufanya mambo ya kipumbavu ili tu wafahamike na kuongelewa.

Anyways...jamaa ni katutoa kimasomamo kimtindo.
Hongeza zake.
 
Ndio maana mi nilisema, Vilaz.a wangekuwa wanapaa kama ndege jukwaa hili lingekuwa busy kama Airport
 
Angeshinda angepiga mkwanja hatari M550 sh, Gold Medal sio mchezo
 
Back
Top Bottom