Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora yake pana wengine hata viwango vya kwenda Rio hawakuwa navyo.Kashinda ila hajafuzu kwenda semi finals, hongera zake na Tz.
Hivi ameshinda? Nafasi ya 49 kumbe ni ushindi..Hilal Ametutoa kimasomaso olympic baada ya kushinda kuogelea 50m ya wanaume free style!
Wajuzi wa kupandisha video wasaidie from you tube sie wengine wa zamani and conservative!
Watanzania kwa kupenda umaarufu hatujambo.
Ndio maana watu huwa wanajitoa fahamu kufanya mambo ya kipumbavu ili tu wafahamike na kuongelewa.
Anyways...jamaa ni katutoa kimasomamo kimtindo.
Hongeza zake.