We have the money tutanunua korosho zote tukauze moja kwa moja China

tajuka

Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
44
Reaction score
24
Rais magufuli kiboko! Kawapiga bit Kali wafanyabiashara wa korosho marufuku kununua korosho kwa bei elekezi ,

Asema hachoki kufukuza watu kazi , asema haoni faida za bodi na haoni sababu ya kuwa na bodi inayopanga upumbavu tu !

Then akauliza nani hatonunua korosho kwa bei tunayotaka sisi , wafanyabiashara walioziwakilisha kampuni wakabaki kimya hahahaha

Then kasema kila Mara anaona upumbavu upumbavu tu kuna siku ataifutilia mbali hiyo bodi then wakulima wapeleke korosho kwa watendaji wa vijiji , na wakuu wa wilaya !!!! Hatari kweli kweli
 
Yale yale ya sukari

Kuna siku hawataikuta bodi haipo,
Mwenyekiti na wafangakazi kuna siku hawatakuwepo hivyo wafanyabiashara wasikae wakitegemea bodi!
 
Back
Top Bottom