We Kasim Majaliwa kwani Waliosaini Mkataba wa Bandari ni Vipofu na Viziwi?

We Kasim Majaliwa kwani Waliosaini Mkataba wa Bandari ni Vipofu na Viziwi?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Baada ya kimya cha Mda mrefu Huyu Mheshimiwa muongo muongo ameanza kujitokeza na ngojera za hapa na pale. Ana tu please mara tuwe na Imani na serikali Sijui Mkataba haujasainiwa. Bla bla

Sasa mpka.mnasaini Mkataba wa makubaliano Kwa Nini hamkuzingatia Sheria na maslahi ya Taifa Toka mwanzo mpaka Watu wameanza kupiga Makelele?.... What if huo Mkataba usingevuja?....Kwani Hao Waliosaini hawakuwa watanzania..Mpaka vipengele vya kijinga kijinga vikaingizwa..............afu unaongelea Watanzania wapi huku Zanzibar haipo kwenye haya makubaliano....

Funny enough huu ndo misingi wa miakataba yote itakoyafuata. watu watakuwa wananyofoa vipannde wanatengeneza hiyo mikataba na TPA....Usitutoe kwenye Reli serikali ilikuwa na Nia ovu sana juu ya Bandari Yetu na usiendelee kudanganya umma.....Mkiri kwamba Mmekosea.

KWA UFUPI HATUIAMINI SERIKALI TENA HATA MKIONGEA HUKU MMMEVUA NGUO HATUTAKI. MAMBO MENGI SANA YA HOVYO YAKO NYUMA YA PAZIA
 
Anapiga mkwara mkataba usikejeliwe, hivi ni kwa nini serikali ikikosea huwa haiombi radhi wananchi wake, au serikali ni nusu Mungu?
 
Back
Top Bottom