We made It.. Big upp to....

Junior Clinton Mr.

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
1,075
Reaction score
1,423
HUREE SERENGETI BOYS!

Jioni ya leo, jijini Bujumbura - Burundi, timu ya vijana wa Tanzania chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) wametwaa taji la CECAFA la chini ya miaka 17 kwa mwaka 2018 baada kuifunga Somalia goli 2-0

Katika michuano hiyo Uganda imemaliza ikiwa nafasi ya tatu na Kenya nafasi ya nne.
 
Safi sana vijana wetu, ingekuwa bora wakiendelezwa waje kuchezea taifa stars
 
Hongera Serengeti boys, huu ni ushindi wa ukweli, kule nyumbani kulikua na mpira uliochezwa kwa mazingaumbwe, bahati mbaya walozi wameshinda
 
hongera zao,

kikubwa waongeze juhudi tu mchezoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…