Junior Clinton Mr.
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 1,075
- 1,423
HUREE SERENGETI BOYS!
Jioni ya leo, jijini Bujumbura - Burundi, timu ya vijana wa Tanzania chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) wametwaa taji la CECAFA la chini ya miaka 17 kwa mwaka 2018 baada kuifunga Somalia goli 2-0
Katika michuano hiyo Uganda imemaliza ikiwa nafasi ya tatu na Kenya nafasi ya nne.