Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Binafsi huwa nakubali sana michango ya huyu jamaa hapa jukwaani.
Ukiachilia mbali kasi ya JF kupoteza ma-great thinkers wake wa zamani kama kina Kiranga , Mkandara na wengineo, hili la kupotea The boss ghafla linashtusha kidogo.
We mdada uliyemtemka The Boss asee tunaomba umuachie jamaa aje angalau asalimie Jukwaa.
Mdada na wewe umegeuka kabisa kuwa mmoja wa watu wasiojulikana unamteka mtu kimya kimya??
The Boss mchangiaji mahiri kabisa na mwenye hekima nyingi na Great Thinker mzuri , ni vigumu sana kupotea hapa jukwaani kwa zaidi ya miezi sasa bila taarifa.
Najua msimu wa mvua ni msimu mzuri wa kuimarisha mahabat na "kutafuta first born" lakini mfungulie angalau mara moja moja auone mwanga wa jua, dhen unamrudisha ndani.
The boss tunakuhitaji jukwaani.