We mdada uliyemteka The Boss, mwachie bana..

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
Binafsi huwa nakubali sana michango ya huyu jamaa hapa jukwaani.
Ukiachilia mbali kasi ya JF kupoteza ma-great thinkers wake wa zamani kama kina Kiranga , Mkandara na wengineo, hili la kupotea The boss ghafla linashtusha kidogo.

We mdada uliyemtemka The Boss asee tunaomba umuachie jamaa aje angalau asalimie Jukwaa.
Mdada na wewe umegeuka kabisa kuwa mmoja wa watu wasiojulikana unamteka mtu kimya kimya??

The Boss mchangiaji mahiri kabisa na mwenye hekima nyingi na Great Thinker mzuri , ni vigumu sana kupotea hapa jukwaani kwa zaidi ya miezi sasa bila taarifa.

Najua msimu wa mvua ni msimu mzuri wa kuimarisha mahabat na "kutafuta first born" lakini mfungulie angalau mara moja moja auone mwanga wa jua, dhen unamrudisha ndani.

The boss tunakuhitaji jukwaani.
 
Mbona unamdhalilisha huyo mtu, ina maana hawezi kuondoka mwenyewe pasi na hilo ulisemalo
 
Shunie turejeshee Jamaa Yetu aiseee"" sio poa kabisaaa...yaaani""

ndio ulimpa ile style ya hukumu ya yesu nini "" ??

ndio maana huwa hatutaki ma great thinker wawe wanakuja katika haya majukwaa ya umbeya...wakishakuja huku na kukutana na kina shunie mzigua ""mbitiyaza kina nahuja basiiii na akili zao zote zinatoweka """ sijui Hawa wadada huwa wanatumia uchawi gani""". refer the Boss""mshana Jr" na yule yake ""nipher ..hata smart nae amekuwa mtu wakupost maneno mawili tu ......dadeq

hata mtoa mada nae siku zake zinahesabika....
 
That's his uniqueness... Smart hanaga blah blah ndomana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]

Cc Smart911
 
hahaaa yaani umemfcha Jamaa ..mpka huwa anatoa comment zenye maneno mawili tu ""

tukikutana kule kwenye jukwaa la siasa ...watu tunatapika nyongo but yeye anaishia kuandika ....time will tell ..hahaa""
 
Wanaume wa Dar bwana.Wakati sisi wa mkoani kipindi cha mvua kilimo kinashika kasi ninyi wanaume wa Dar ndio mnaendekeza mahaba?
 
Shunie turejeshee Jamaa Yetu aiseee"" sio poa kabisaaa...yaaani""

ndio ulimpa ile style ya hukumu ya yesu nini "" ??

ndio maana huwa hatutaki ma great thinker wawe wanakuja katika haya majukwaa ya umbeya...wakishakuja huku na kukutana na kina shunie mzigua ""mbitiyaza kina nahuja basiiii na akili zao zote zinatoweka """ sijui Hawa wadada huwa wanatumia uchawi gani""". refer the Boss""mshana Jr" na yule yake ""nipher ..hata smart nae amekuwa mtu wakupost maneno mawili tu ......dadeq

hata mtoa mada nae siku zake zinahesabika....
he he he he
ulichokiandika kimenifikirisha sana aiseee
Ngoja nirudie kusoma tena
 
hahahaa naona The Boss kapita Kimya Kimya "" usitufanyie hivyo aisee...yaani umetoa like tu then umeyeya
 
Nipo wakuu.....natazama tu hali inavyokwenda

what if kina Maxence Melo wakishindwa kesi hiyo may?
na ukichukulia mahakama zetu ndo hizi hizi tunazozijua?

naona possibility hata ya JF kufungwa ipo kuubwa
au kulazishwa kuwataja member wanao ikera serikali...

mood ya kuchangia humu inanitoka hasa kama nalazimika
kuwa 'makini' nisichangie vya 'kuiudhi' hii serikali
au thread kubadilishwa heading au kufutwa

but nipo most of time kama guest tu natazama..
after hukumu ya JF hapo May naona ndo ntakuwa more active kama
JF itabaki kama ilivyo....inshalaah...
 
Amiin
 
Back
Top Bottom