Amiin
Nimefanyeje tena shemeji?Halafu wewe.....
@Tuko umempeleka wapi?Halafu wewe.....
Amiin mungu atatenda JF itabaki salama.Nipo wakuu.....natazama tu hali inavyokwenda
what if kina Maxence Melo wakishindwa kesi hiyo may?
na ukichukulia mahakama zetu ndo hizi hizi tunazozijua?
naona possibility hata ya JF kufungwa ipo kuubwa
au kulazishwa kuwataja member wanao ikera serikali...
mood ya kuchangia humu inanitoka hasa kama nalazimika
kuwa 'makini' nisichangie vya 'kuiudhi' hii serikali
au thread kubadilishwa heading au kufutwa
but nipo most of time kama guest tu natazama..
after hukumu ya JF hapo May naona ndo ntakuwa more active kama
JF itabaki kama ilivyo....inshalaah...
hahaaa yaani umemfcha Jamaa ..mpka huwa anatoa comment zenye maneno mawili tu ""
tukikutana kule kwenye jukwaa la siasa ...watu tunatapika nyongo but yeye anaishia kuandika ....time will tell ..hahaa""
AmenNipo wakuu.....natazama tu hali inavyokwenda
what if kina Maxence Melo wakishindwa kesi hiyo may?
na ukichukulia mahakama zetu ndo hizi hizi tunazozijua?
naona possibility hata ya JF kufungwa ipo kuubwa
au kulazishwa kuwataja member wanao ikera serikali...
mood ya kuchangia humu inanitoka hasa kama nalazimika
kuwa 'makini' nisichangie vya 'kuiudhi' hii serikali
au thread kubadilishwa heading au kufutwa
but nipo most of time kama guest tu natazama..
after hukumu ya JF hapo May naona ndo ntakuwa more active kama
JF itabaki kama ilivyo....inshalaah...
TOUCHY!Nipo wakuu.....natazama tu hali inavyokwenda