Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
Nimesikitika baada ya kusoma thread ya member humu anayeitwa Marry Diana jinsi anavyoilalamikia jamii forum na member wake kwamba watu wengi humu ni wabaya kusema ukweli nimeumia sana hivi unakuaje mwwnamke mzuri na brain woman wanamkosea hivyo? Ila ninachomuambia huyu member Marry Diana ya kwamba humu jamii forum kuna member wastaarabu,matajiri na hawana mambo mengi kama Tajiri wa kusini huyu jamaa ana pesa sana aisee
Marry Diana mtafute huyu member utakuja kuniambia jamaa ukimcheki tu Pm muda huo huo anakutafuta na una msaada wa pesa au mtaji au kama unashida ya mume mtafute huyu jamaa ni husband material kiukweli halafu hana mambo mengi kama hauamini zitafute nyuzi nyingi humu wakimsifia watu kutokana na ukarimu wake.