Bado sijaenda balozi ya saudiaJamal kaghashoki
Wa2 n mwendo wa kutekwa tu
Jamani mbona mnanizibia rizikiUnaulizaje wake za watu mitandaoni mume wake alishamkataza katika mtandao.
Nipo my love. Tatizo mda unanibana. Ila sponsor wangu kanirudisha jf nije nimuandikie story moja ya kibabe afu ananilipia kodi.Poleni na kazi wanajukwaa la jamii..
Huyu mtu anaitwa Lara1 yuko wapi siku hizi jamani.. story zake tumezimiss sana.. mimi ni mmoja wa mashabiki wake ila wa kusoma kimya kimya.. ila leo uzalendo umenishinda nikaamua leo nimuuulizie.. Lara1 huko uliko please umetutupa mashabiki zako.. tunakupenda na tunaomba uje na bonge la story my .. hakuna mwandishi wa story hapa tanzania kama Lara1.. kwangu huwa anaandika maudhui yetu ya kibongo bongo.. please comeback Lara1..
Daah karibu sana kubwa la Maadui..hilo story la kukata na shoka nalisubiria ile mbaya.. maisha magumu , tukipitia pitia story zako maisha yanaenda..Nipo my love. Tatizo mda unanibana. Ila sponsor wangu kanirudisha jf nije nimuandikie story moja ya kibabe afu ananilipia kodi.
ha ha ha 😂 we noumaNipo jamani nadanga kimataifa zaidi si mnajua bongo vyuma vimekaza
Lini hiyo story utaitandandaza jamvini?Nipo my love. Tatizo mda unanibana. Ila sponsor wangu kanirudisha jf nije nimuandikie story moja ya kibabe afu ananilipia kodi.