We miss u lara1 where are youuuuuuu!!!!

We miss u lara1 where are youuuuuuu!!!!

kazi kweli kweli .. naona lara 1 una acc nyingine ya kujipigia chapuo
 
Keshaolewa kitambo mkuu ni shemej yangu na broo kamkataza kutumia mitandao ya kijamii
 
Poleni na kazi wanajukwaa la jamii..
Huyu mtu anaitwa Lara1 yuko wapi siku hizi jamani.. story zake tumezimiss sana.. mimi ni mmoja wa mashabiki wake ila wa kusoma kimya kimya.. ila leo uzalendo umenishinda nikaamua leo nimuuulizie.. Lara1 huko uliko please umetutupa mashabiki zako.. tunakupenda na tunaomba uje na bonge la story my .. hakuna mwandishi wa story hapa tanzania kama Lara1.. kwangu huwa anaandika maudhui yetu ya kibongo bongo.. please comeback Lara1..
Nipo my love. Tatizo mda unanibana. Ila sponsor wangu kanirudisha jf nije nimuandikie story moja ya kibabe afu ananilipia kodi.
 
Nipo my love. Tatizo mda unanibana. Ila sponsor wangu kanirudisha jf nije nimuandikie story moja ya kibabe afu ananilipia kodi.
Daah karibu sana kubwa la Maadui..hilo story la kukata na shoka nalisubiria ile mbaya.. maisha magumu , tukipitia pitia story zako maisha yanaenda..
 
Nipo my love. Tatizo mda unanibana. Ila sponsor wangu kanirudisha jf nije nimuandikie story moja ya kibabe afu ananilipia kodi.
Lini hiyo story utaitandandaza jamvini?
 
Kuna huyu member Lara1 alikuwa anachangamsha sana jukwaa. Yuko wapi siku hizi?
 
Back
Top Bottom