We miss u lara1 where are youuuuuuu!!!!

We miss u lara1 where are youuuuuuu!!!!

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
Lara1 aka KuBwa la maaadui tumekumiss sana ujo wapi wewe.

Nini kimekupata au ndo ushawekwa lock up na cyber crime act .

Au ndo uchumi Wa Anko magu umekuyumbisha mpaka umekosa bando la kuingia humu jamvini

Tunazi-miss "weekend stories" zako japo ulisema tuende kwenye blog nako hakuna updates zozote

Ama Uko Kwenye mission ya kum-capture "Mr OKOSoNI"[emoji2]

Kamubaki lara1 we have got "Lara1 fever"

We miss u lara1 were are uuuuuuuu!![emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji445]

Dedication:We miss u manelo by chicco[emoji2]
 
Aje

Ila sio kama alivyosema alikiba[emoji2]
 
Atakuwa ameachwa kama mange yupo eda [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahahahahha[emoji2] aje bwana


Ama ndo kashawekwa ndani na osokoni
 
huyu kubwa la maadui sijui jafungiwa wapi?lara 1 kuja hukuuuuuu au huna story ushafulia?
 
Nishamuweka ndani kitambo na kwa jinsi ninavyomkeep busy hawezi kupata Muda wa kuingia Jf.
 
Poleni na kazi wanajukwaa la jamii..
Huyu mtu anaitwa Lara1 yuko wapi siku hizi jamani.. story zake tumezimiss sana.. mimi ni mmoja wa mashabiki wake ila wa kusoma kimya kimya.. ila leo uzalendo umenishinda nikaamua leo nimuuulizie.. Lara1 huko uliko please umetutupa mashabiki zako.. tunakupenda na tunaomba uje na bonge la story my .. hakuna mwandishi wa story hapa tanzania kama Lara1.. kwangu huwa anaandika maudhui yetu ya kibongo bongo.. please comeback Lara1..
 
Back
Top Bottom