Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,205
- 5,121
Nimeamini kila eneo wana vitu vyao vinavyowapa raha na vibe la kufa mtu. Kama nyie Dar mnavibe na akina "Chino wanna man" basi huenda Shinyanga wanavibe na "Ngosha Bhudhagala".
Kutana na huyu DJ Missomisondo kutoka maeneo ya kusini ambaye kwa sasa anatrend sana huko kwenye social networks mbalimbali kwa style yake ya kuvaibisha kwa kuzifanyia remix nyimbo mbalimbali katika miondoko ya mchiriku na singeli.
"We Missomisondo, umepigaje hapoo"