We Missomisondo, umepigaje hapo

We Missomisondo, umepigaje hapo

No, The boy is creative! Nimependa his "unique style" nadhani huyu ndio namna mpya ya muziki!
 
Nadhani ...watu wako so interesting zaidi na hao wanaocheza hizo nyimbo hawo wanaovaa Makoti na nahisi mtu akitaka Miso Misondo wengi picha ya kwanza ni hao washikaji wanaovaa hayo Makoti.
Huyu Dj anapatikana Masasi _Mtwara katika kijiji cha chigugu , Katikati ya masasi mjini na ndanda.

Hao vijana wanaocheza pia wanatoka kwenye hicho kijiji.
Wanatembea na huyo dj popote anapoenda kupiga kazi , Mawasiliano yapo ,na huyo dj ukihitaji.
 
Nigee kaka mawasiliano kumbe kati apo. Ukitoka chikukwe ,mandiwa alafu chigugu aloo wamebarikiwa ndio mana hata chee nkapa kasomea chidya
 
Haniiiiiiii
Haniiiiiii

We misso missondo umepigaje hapo?

Halafu atakuja mtu kuiponda ticktock wakati imeshampa huyu jamaa umaarufu na Yuko dar Sasa hivi
 
Jana nilikuwa na Ma Dj mmoja yupo be wasafi na wengine wanagonga Club za masaki.Wakawa wanaulizana Dj Misondo anafanya vipi mixing zake yaani anapigaje wao wanashindwa.
 
Muziki wa singeli una ujinga kama makanisa ya kiroho.. [emoji23][emoji23][emoji1787]

Nimeona vijana wanaambiwa nataka mbaazi wamekuja nazo, kuna wengine sijui vua shati, wanavua, galagala, wanagalagala[emoji23][emoji1787]
Yaani ni kuacha waishi wawezavyo si wengine tudai bandari na kumkomalia Gekul ajiuzuru.
Kun wakati wanasema live and let die...
Hahahaa ndo maisha mkuu
 
Huyu Dj anapatikana Masasi _Mtwara katika kijiji cha chigugu , Katikati ya masasi mjini na ndanda.

Hao vijana wanaocheza pia wanatoka kwenye hicho kijiji.
Wanatembea na huyo dj popote anapoenda kupiga kazi , Mawasiliano yapo ,na huyo dj ukihitaji.
Ashakuja dar nimeona e FM wamemchukua
 
Nimeamini kila eneo wana vitu vyao vinavyowapa raha na vibe la kufa mtu. Kama nyie Dar mnavibe na akina "Chino wanna man" basi huenda Shinyanga wanavibe na "Ngosha Bhudhagala".

Kutana na huyu DJ Missomisondo kutoka maeneo ya kusini ambaye kwa sasa anatrend sana huko kwenye social networks mbalimbali kwa style yake ya kuvaibisha kwa kuzifanyia remix nyimbo mbalimbali katika miondoko ya mchiriku na singeli.

"We Missomisondo, umepigaje hapoo"

View attachment 2821791
View attachment 2821792
View attachment 2821793
View attachment 2821794
View attachment 2821795
View attachment 2821796
View attachment 2821797
View attachment 2821798
View attachment 2821800
View attachment 2821801
Starehe ni popote
 
Back
Top Bottom