We Missomisondo, umepigaje hapo

Nimekuwa na mfuatilia huyu dj kwa mda sasa.
Hili la efm kwenda mpaka ntwara kitaka kumsajili dogo naona watampoteza
Cha kufnya wampe uhuru wa kuwa dj wa poppte na kumsaidia kumuongezea vifaa vyake vya udjay.
Mtwara wanamkubali sanaa huyu dogo.
Sasa akuondoka nani atawa burudisha ???
 
Wakati wake huu,atulie apige maokoto yake asepe,,tumsahau,,aje mwingine tena ndio dunia ya trending inavyoenda,,ukipita umepita,,na ukipata pa kupita,,hakikisha unapita Haswa na maokoto!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…